Haja ndogo

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
jamani naomba mnisaidie. Hivi kwenda haja ndogo Mara kwa Mara ni ugonjwa? Msaada tafadhali.
 
jamani naomba mnisaidie. Hivi kwenda haja ndogo Mara kwa Mara ni ugonjwa? Msaada tafadhali.

Maelezo hayakitosheleza mpendwa! Je unapata maumivu? Ni mjamzito? Unahisi kuchoka sana? Unakunywa maji sana? Inaweza kuwa dalili ya UTI ni vyema kufika hospitali ukapima
 
Habari ! Kukojoa mara kwa mara kunaweza kua ugonjwa au si ugonjwa. Kama mchana unakojoa zaidi ya mara 8 na usiku zaidi ya mara 2 (polyuria au nocturia) itakuwa ni dalili za urinary tract infection (U.T.I) na siyo lazima iwe U.t.i pia kukojoa mara kwa mara kunawe kuwa kumesababishwa na kisukari, unywaji wa maji mengi, pombe, unywaji wa kahawa ,madawa kama diuretics , mimba Ebu jaribu kupima kama utakojoa kuanzia litre 3 basi ujue hilo ni tatizo.
 
nawashukuru kwa maoni na msaada wenu ndugu zangu. Labda niongezee Hakuna maumivu wakati wa kukoja, wala hakuna mimba. Usiku inakuwa kama mara 2, mchanza ndo mara kwa mara. once again, I appriciate 4 ur contribution.
 
jamani naomba mnisaidie. Hivi kwenda haja ndogo Mara kwa Mara ni ugonjwa? Msaada tafadhali.

Ukinywa maji mengi km lita moja,basi baada ya km robo saa utapata haja.Hata km ikiwa usiku then umekunywa maji mengi lzm uende haja mara kwa mara. Kama Lady G unakunywa maji mengi halafu unapata haja ndogo mara kwa mara haina madhara,isipokuwa km ni kinyume chake muone dokta.
 
Maji yatakufanya uende haja ndogo mara kwa mara mwanzoni,
ukishazoea hiyo tabia inapotea,

nilishawahi kukaa na mtu mwenye sukari, anaweza kukojoa
hata mara saba usiku mmoja.

Back
Top Bottom