Hair cutting salon inauzwa.

Mlonda

Member
Apr 3, 2012
35
2
Salon inauzwa maeneo ya Mbezi-beach, Tangibovu, ina vitu vya kawaida tu.
Bei ni 230,000/=, na kuna kodi ya mwezi mmoja imebaki.
Sababu ya kupauza mmiliki anaenda kusoma.
Ni jambo la haraka, atakaye itaji apige simu kwa namba 0713135070.
karibu.
 
Back
Top Bottom