Roulette JF-Expert Member Dec 15, 2010 5,579 5,375 Oct 9, 2012 #6 Nice! this is very artistic, sijui alitumia vifaa gani...
M mang'ang'a JF-Expert Member Oct 18, 2010 828 379 Oct 9, 2012 #7 Ndallo said: Hair Cut - Very Impressive! View attachment 67679 Click to expand... Hii inategemea shape ya kichwa chenyewe manake kama una kichogo labda wachore mlima kilimanjaro, ambao si haba lakini
Ndallo said: Hair Cut - Very Impressive! View attachment 67679 Click to expand... Hii inategemea shape ya kichwa chenyewe manake kama una kichogo labda wachore mlima kilimanjaro, ambao si haba lakini
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,653 13,472 Oct 9, 2012 #9 Roulette said: Nice! this is very artistic, sijui alitumia vifaa gani... Click to expand... lazima nyundo na tindo vilitumika!
Roulette said: Nice! this is very artistic, sijui alitumia vifaa gani... Click to expand... lazima nyundo na tindo vilitumika!
Facilitator JF-Expert Member Oct 30, 2010 2,280 1,763 Oct 9, 2012 #10 No, this ain't possible. Nimeiangalia hiyo picha kwa makini, nimegundua imetengenezwa.