HAIPINGIKI: Diamond & Wema kurudiana

Umeshaanza kunywa hadi unatumwa kuja kuandika humu.

Alimtukania mama yake kwa wivu wa Zari, ka wewe unaendekeza hayo basi kamchukue w.

Ila na nyota anariyosema alimpa D yeye kashasema kule harudi ng'oo.

Limbwata zimeishia njiani ndio imetoka hiyooooooo

Hakuna true love pale, D hakujitambua sasa anajijua kuwa alindumbukia kwenye pa wengi.
 
Vijana wengi wa nchi hii wameaharibikiwa kijinsia mpaka akili, sasa uchunguzi gani wa kisayansi unaoongelea hapa?
 
Sijajua itakuwa lini ila hawa watu watarudiana na kuishi pamoja hadi uzeeni. Kwasababu mbalimbali za kisayansi ni kuwa hawa watu wanapendana sana (true love) na endapo wakafungiwa sehemu kwa dakika chache lazima wazisahau tofauti zilizotokea. Upande wa mwanamke (Wema) ndo wenye mapenzi makubwa zaidi kuliko kwa diamond. Tuwaombee hawa wenzetu wazimalize tofauti zao maana kwa sasa nafsi zao zitakuwa zinalilia kuunganishwa tena.
NB: Huu uchunguzi ni huru na wenye uhakika 100% kama unataka kujua kwanini kiundani nitumie PM

Yani utabiri wako one day yes!! itahappen. kurudiana must manake hilo jimama la Ug hata hawaendani kabisaaaa yanii....Linamfaa kingunge
 
Ramli zimeanza tena teh teh, hivi wema hawezi pata mwanaume mwingine akamsahau mond? maana kila wakati bado yupo attached na mond, huyo mwanaume alie nae sasa sidhani kama anapenda haya
 
afu tifa alelewe na nani? mama wa kambo sepetunga? weee atalishwa ugali mgumu mgumu dadeki
 
Yani utabiri wako one day yes!! itahappen. kurudiana must manake hilo jimama la Ug hata hawaendani kabisaaaa yanii....Linamfaa kingunge

Kwa hayo maneno uliyoandika tu endelea kulamba ndimu na kuzitafuna na kumeza.

Na hivyo hivyo ndipo D kafia kwa roho safi anakula mahaba mahaba jiwuwe weye

Mlisemaga hana ndoto sasa mnamtamani hamjui kuwa mnampaga mabalaaa

Wanaume wamejaa wengi mtafutieni huyo mwanamke mwenzenu

D kaeni nae mbali watukanaji wengi waliojaa na machirizui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom