Haipendezi kukiita CCM chama cha magamba

JF imekuwa na members wengi wasioipenda CCM. Siku za karibuni zimeibuka kejeli mbaya dhidi ya chama hiki kinachoongoza dola na members wengi wa JF wametumbukia kwenye kejeli hii ambayo mimi naona sio uungwana.Mbona wao CCM hawakebehi vyama vingine? I mean mbona wao hawaiti chadema majina ya kukebehi na ya mzaha?Nashauri Mods walambishe BAN wote watakaokuwa wanakidhalilisha chama hiki badala yake tujadiliane kwa staha. Hata kama mimi nitajisahau nitakiita chama cha magamba na mimi nilambishwe BAN tu.Naomba kutoa hoja
seems ur the GAMBA too! Km weng hawakipendi kina kasoro tena kubwa na wewe kichukie, hamasisha ukoo mzima ukichukie cuz its worthles to love and embrace that corpse party
 
kama sio chama cha magamba, hao wanaoyavua wameyatoa wapi? nawe unaogopa kulivua lako? vumilia tu mkuu ... kuvua gamba yataka moyo ... nape anayajua vizuri!
Swadakta mkuu tunakiita chama cha magamba,kwa falsafa yao wenyewe,MAGAMBA waliyotaka kuyavua yameshindikana hayavuliki,ndio maana tunakiita CHAMA CHA MAGAMBA.
 
Sitapingana na yeyote atakayesema baadhi ya wabunge wa ccm ni wehu. Huyo aliyesema CCM ni chama cha Mungu kama alimaanisha Mungu aliyeumba dunia basi laana i juu yake
Unashanga hilo wakati wa nec kujivuwa gamba makamba alijifananisha na yesu alisema naenda kwa baba kuwaandalia makao ccm walivo tuzalau wa tz imefikia hatuwa ya kumkufulu mngu daima amwogopaye mngu hawezi mtenda mwenzake jambololote ambalo hata yeye hapedi kutendwa mafisadi ccm wachakachuwaji ccm wauwaji ccm wazalilishaji ccm yanatosha muludieni muumba wenu
 
CHAMA CHA MAGAMBA hakuna namna ccm inaweza kujibadili taswira yake kwa jamii na sio sisi wa kulaumiwa ni hao hao magamba ambao wanaona watz wote kama vipofu nani asiyeshuhudia yanayotokea bungeni kejeli juu ya cdm hata kama kuna facts ,ukimwangalia mtz wa leo kama yuko kwenye msiba nao watu wanaomboleza Rais anatabasamu tu,hii ni dhihaka kwetu they deserve to be called magamba!
 
CCM ni chama cha magamba, kama hawana hayo magamba wanavua nini? Vipi ndugu yangu wewe umejivua lako?
 
CCM ni chama cha majambazi,cha mashetani,chama kilicho jaa dhuruma,chama cha wapumbavu.
 
JF imekuwa na members wengi wasioipenda CCM. Siku za karibuni zimeibuka kejeli mbaya dhidi ya chama hiki kinachoongoza dola na members wengi wa JF wametumbukia kwenye kejeli hii ambayo mimi naona sio uungwana.
Mbona wao CCM hawakebehi vyama vingine? I mean mbona wao hawaiti chadema majina ya kukebehi na ya mzaha?
Nashauri Mods walambishe BAN wote watakaokuwa wanakidhalilisha chama hiki badala yake tujadiliane kwa staha. Hata kama mimi nitajisahau nitakiita chama cha magamba na mimi nilambishwe BAN tu.
Naomba kutoa hoja

Huwezi jivua gamba kama hunalo.......na kama una gamba tukikuita wa magamba kuna ubaya gani?....CCM MAGAMBA! usitutishe .........Nasubiri adhabu
 
chama cha magamba, kwasababu walishindwa kuyatoa magamba. Kwa hiyo kama yapo lazima kiwe chama cha magamba!
 
km CCM ni chama cha magamba basi na cdm ni chama cha degedege na malaria coz huwa wanatapatapa km mgonjwa wa degedege na huweuka km malaria imewapanda kichwan
 
km CCM ni chama cha magamba basi na cdm ni chama cha degedege na malaria coz huwa wanatapatapa km mgonjwa wa degedege na huweuka km malaria imewapanda kichwan
Usiongee kabisa! Hivi yule mkuu wa Chama cha Magamba anayedondoka dondoka kila sikua ana ugonjwa gan?Ni dege dege au ni kifafa?
 
Walijinadi kua wanavua Magamba wakiongozwa na mwenyekiti wao. Baada ya Kujivua mengine yakabaki. sasa hapo tutakua tunakosea nini kukiita chama cha magamba
 
Hapa sijaelewa jamaa anataka nini hasa?
Jina la magamba linamuuma coz magamba yamewacost afu wameshindwa kuyavua sasa wakisikia tu Magamba roho inadundia m******i labda anataka waitwe chama cha michakato coz hata suala la kuvua gamba liko ktk mchakato
 
Back
Top Bottom