Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haina haja ya viagra just do kegel please!

Discussion in 'JF Doctor' started by NYAGI DRY, Dec 1, 2011.

 1. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  practice these Kegel exercises
  for men
  Controlling ejaculation is a huge issue for many men, one
  that they are often too
  embarrassed to bring up. How
  do I control myself? How can I
  last longer, be firmer and do
  better? The answer is working out your pubococcygeus
  muscles (PC) muscles, by doing
  Kegel exercises for men.
  PC muscles control the flow of semen and urine, the firmness of your penis during erection
  and the shooting power of
  your ejaculation. They are
  important, and if kept very
  strong, will see you into your
  golden years with a fantastical hard on. The great thing about
  Kegel exercises for men is that
  you can do them anywhere,
  anytime -- and nobody will
  know the difference.
  You will be able to have better sex by being able to better control your orgasms and
  ejaculations, and last for
  longer, plus you may get the
  added kudos of being able to
  hold up a wet towel with your
  erection if you practice these Kegel exercises for men. How Do I Know Where My PC
  Muscles Are? The easiest way to find them
  is to stop your flow of urine
  next time you go to the
  bathroom. Another way to
  isolate them is to put your
  finger inside your anus; when you contract the right muscles,
  your anus will tighten.
  However you decide to find
  them, once they are found you
  need to practice feeling exactly
  where they are located -- it is easy to overcompensate for
  weak muscles by using the abdominals, buttocks or thighs. These must all stay
  relaxed when doing Kegel
  exercises for men.
  Now, on to the daily Kegel
  exercises for men.
  Note: These exercises are done hands-free. You do not
  “squeeze” anything with your
  hands as they are all done with
  your PC muscles. Kegel Session 1 Exercise A
  Sets: 3 Quickly clench and release
  repeatedly for 10 seconds.
  Take a 10-second break
  between sets. Exercise B
  Sets: 10 Clench and release repeatedly
  for 5 seconds.
  Take a 5-second break
  between sets. Exercise C
  Sets: 3 Tighten and hold your PC
  muscle for 30 seconds.
  Take a 30 second break
  between sets.
  That’s it for today, but repeat
  these Kegel exercises for men daily for one week. Kegel Session 2 Exercise A
  Sets: 10 Clench and hold your PC muscle
  for 5 seconds.
  Release and repeat. Exercise B
  Sets: 3 Quickly clench and release your
  PC muscle 10 times. Exercise C
  Sets: 3 Clench and release your PC
  muscle alternatively in long
  and short bursts for counts of
  10. Exercise D
  Sets: 1 Tighten your PC muscle and
  hold for as long as you can.
  Aim for 2 minutes.
  You can do the session 2 Kegel
  exercises for men for a week;
  however, feel free to progress if you feel you are strong
  enough. Remember that these
  are strengthening exercises, so
  start off slowly and build up,
  just like you would with any
  other muscle.
   
 2. v

  valid statement JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,730
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Ujumbe umefika. Senkiyuu mdau.
   
 3. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Asee!!!
  duh!!!
   
 4. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We will do so Sir, thank you!
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mdau,

  Mume wangu amefanya sana haya mazoezi..... lakini matokeo yake sio mazuri sana

  Nilikuwa namfanyisha mwenyewe kabisa!
   
 6. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,742
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Put your fingers were? Ok, bye!
   
 7. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Pole sana tena sana! Test na njia nyingine sila zima kegel! Then kama inasumbua 2fahamishane,ili uwe una enjoy!
   
 8. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Njia nyingine kama zipi?
   
 9. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 14,513
  Likes Received: 3,842
  Trophy Points: 280
  Masikini mm nisiyejua kidhungu!hakuna mtu anaweza kuitoa hii kitu kwa kiswahili fasaha!
   
 10. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,565
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  !!!!!?????
   
 11. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  K[h=3]MAZOEZI YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME (PHYSIOTHERAPY FOR MALE IMPOTENCE)[/h]

  Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ambayo mwanaume au mvulana anapungukiwa au kukosa kabisa nguvu za kusimamisha viungo vyake wakati wa tendo la kujamiiana. Pia inaweza kuwa ni hali ya mwanaume kuwahi kumaliza wakati wa tendo, au kuwa na nguvu hafifu.Utafiti unaonyesha kuwa Wanaume wengi duniani wanasumbuliwa na tatizo hili ingawa hakuna uwazi wa kutosha wa kulielezea tatizo lenyewe.

  Idadi kubwa ya wanaume wana nguvu ndogo, nguvu ambayo haikidhi matakwa ya wenzi au wake zao, huku idadi nyingine kubwa wakiwa hawana kabisa nguvu hata kidogo. Inaelezwa kuwa tatizo hili limepelekea ndoa nyingi kuvurugika na limesababisha maumivu makubwa kwa watu ambao wako kwenye uhusiano.

  Watafiti wa mambo ya mahusiano na mapenzi wamejaribu kutafuta vyanzo mbalimbali vya tatizo hili na mbinu za namna ya kulitatua. Licha ya kiusababisha ndoa yingi kuvurugika inaelezwa kuwa tatizo hili limepunguza kwa kiwango kikubwa uwezo wa wanaume kujiamini na kushusha ufanisi wao majumbani mwao na sehemu za kazi.


  Watafiti mbalimbali wamejaribu kwa miaka mingi kutafuta tiba ya kudumu ya tatizo hili. Miongoni mwa watafiti ambao wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwarudishia wanaume uwezo wao, ni Daktari Arnold Kegel. Daktari huyu aligundua aina ya mazoezi ambayo yamethibitishwa ulimwenguni kote kuwa na uwezo mkubwa wa kumrudishia mwanaume nguvu zake, hata yule ambaye hakuwa nazo kabisa ( *******).
  Mazoezi hayo yamepewa jina la mgunduzi wake na yanafahamika duniani kote kwa jina la Kegel.

  KEGEL NI NINI?
  Kama nilivyoeleza , haya ni mazoezi maalum ambayo huhusisha misuli ya Pelvic inayopatikana kwenye eneo lililozunguka viungo vya uzazi vya mwanaume, kwa upande wa ndani wa mwili.
  Mazoezi ya Kegel huhusisha kuibana na kuiachia misuli hii kwa utaratibu maalum, hivyo kuiongezea uwezo a kutanuka na kuwa na nguvu kubwa.

  Namna ya kuanza kufanya mazoezi haya ni kwanza kutambua mahali ilipo misuli inayotakiwa kufanyishwa mazoezi. Hili linawezekana kwa kujibana haja ndogo kila unapokwenda kujisaidia.Jibane kwa nguvu kuzuia haja ndogo na wakati huohuo kuwa makini kuigundua misuli inayojibana. Rudia zoezi hili kwa mpaka wiki moja mpaka uhakikishe umeitambua vizuri misuli yako. Ni misuli hiyohiyo ndiyo inayohusika na nguvu za kiume.

  Ukishaifahamu vizuri misuli yako, anza kwa kuifanyisha mazoezi kama ifuatavyo:
  -Hakikisha huna haja ndogo hata kidogo. Simama wima au kaa kwenye kiti na utulie kabisa. Jifanye kama umebanwa na haja ndogo na kubwa kwa wakati mmoja na uko mbali na choo. Jibane kwa kadri ya nguvu zako zote ukiwa kama unazuia haja zisikutoke, Kisha hesabu mpaka tano (Sekunde tano) ukiwa umejibana, kisha jiachie na urudi katika hali yako ya kawaida.  Rudia zoezi la hapo juu kwa kufuatisha mzunguko wa kujibana kwa sekunde tano na kujiachia. Rudia kwa dakika zisizopungua tano kwa mara ya kwanza. Fanya zoezi hili mara mbili kila siku kwa muda maalum ulioupanga na endelea kuongeza muda wa kufanya mazoezi kwa kadri ya nguvu zako zitakavyokuwa zinaongezeka.

  Utashangaa kuona kuwa baada ya muda wa takribani wiki sita hadi miezi mitatu tangu uanze kufanya mazoezi haya rahisi, nguvu zako zitaongezeka kwa kiasi ambacho hukutegemea na utakuwa na nafasi nzuri ya kukidhi haja za mkeo au mpenzi wako. Kumbuka kuwa ukishazoea namna ya kufanya mazoezi haya unaweza kuyafanya mahali popote, wakati wowote bila ya mtu mwingine kufahamu unachokifanya.


  Angalizo
  Mazoezi haya ni kwa wanaume wenye umri wa kuanzia miaka kumi na nane.

  Unapaswa kuanza taratibu kufanya mazoezi haya, na uongeze taratibu kadri siku zinavyoenda. Epuka kufanya kwa muda mrefu hatika siku za mwanzoni.

  Mazoezi haya hayana athari zozote kwa afya ya mtumiaji kwani hutumii AMA KIMOMBO HAKIPANDI VIZURI:
   
 12. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  Natabiri Ukameroon unaweza kuaanzia hapo kwenye nyekundu.
   
 13. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,706
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  haya maswala ya cameroon kabisa mnataka misaada iendelea kuletwa nini?
  bathroom. Another way to
  isolate them is to put your
  finger inside your anus
  ; when you contract the right muscles,
  your anus will tighten.
  However you decide to find
  them, once they are found you
  need to practice feeling exactly
  where they are located -- it is easy to overcompensate for
  weak muscles by using the abdominals, buttocks or thighs.
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,086
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  Wewe nyagi dry ulishawahi kutoa uzi kwamba uwezo wako umeshuka,kwahyo umebrowse kwenye net ukagundua kwamba inabidi ufanye kegel exercise hahahahahaaaa vp ushapona tatizo lako lile la kuwahi?
   
 15. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ku2mia mitishamba!
   
 16. N

  NYAGI DRY JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndo mana nimeamua kuleta uzi hapa wadau waufaidi,manake saiv napiga kasia mwanzo mwisho! 50minutes!ndo naanza kuhis kukojoa,nikibana thru kegel exercise mpk dk 120,ndo nachana nyavu,kegel iko poa wadau
   
 17. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,729
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Points taken!!!Thanxs
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,588
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Njia nyingine ni Ku~doo ukiwa umebanwa na Mkojo njia hiyo ni nzuri pia... Happy doo~ing Wadau...
   
 19. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,550
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Labda umemuaribu mwenyewe kwa kumpelekea vidole kwenye nanihino kupitiliza
   
 20. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 9,430
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Kweli ndugu yangu hapo kwenye red panaashiria ukameruni kabisa,kama ushauli wenyewe ndio huo wafanye wenyewe.
   
Loading...