Haimo kabisa, ati "mikono juuu" kwani nmekuja kuombewa, "piga kelelee" nmekwambia nina mapepo?

"put your hands in the air"
people make some noise for..................man4ngoooooooo
yooooooooo...!!!
 
Hivi mbona hatuna matamasha ya classic music kama ya akin don william julio igneous dolly patron na sir elton john?

Natamani siku moja tumwalike yule mama aliyemwimbia JK wimbo wa kiswahili kule Australia aje na jazz bendi yake.
 
Mimi nashangaa, hili tamasha la fiesta linatimiza miaka 15 sasa lakini coordinators ambao ni cloud media wanashindwa kuwa wabunifu kwa kuwafanya wasanii waimbe live jukwaani kwa maana ya kutumia instruments zote on stage kuliko hivi wanavyofanya kwa kutumia play back cds, ndo hivo tunaona wasanii wanapiga kelele tu jukwaani.
 
Hivi mbona hatuna matamasha ya classic music kama ya akin don william julio igneous dolly patron na sir elton john?

Natamani siku moja tumwalike yule mama aliyemwimbia JK wimbo wa kiswahili kule Australia aje na jazz bendi yake.
Thanks
 
Ukiweka mikono juu ukishusha hakuna simu wala wallet mfukoni vyote vilishaibiwa, hili genge hatari sana
Ha,ha,haaaaa.....
Wajinga ndo waliwao,
Inua mikono juu,piga keleleeeeeee.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom