mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 559
aisee mpeni vyeo basi jamani aziidishe imani kwa chama
Anachofanya Nyimbo ni kikubwa sana na ndo kinastahili. Reward yake sidhani kama ni kupewa cheo ndani ya chama bali kuungwa mkono kwa jitihada zake kwa kupewa vifaa zaidi kama bendera,katiba nk kwa ajili ya kuelimisha wananchi zaidi na pia aigwe na wote wanaopenda mabadiliko kwa kufanya the same katika vijiji/maeneo yao