Haijapata kutokea---- Thomas Nyimbo avunja ngome ya CCM, aweka rekodi

PEA

Member
Dec 31, 2010
77
33
Wote tunajua mambo ya ajabu yaliyofanywa na CCM wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2010 katika Jimbo la Njombe Magharibi. Baada ya kufanyiwa hujuma ndani ya CCM na baadae akigombea kwa Chadema Thomas Nyimbo aliamua kutokwenda mahakamani na badala yake aliamua kukata rufaa kwa wananchi.
Kwa ufupi CCM Njombe Magharibi iko taabani na ushahidi ni ofisi hii ambayo Mh.Nyimbo nbaada ya kufanikiwa kupata wanachama katika Wilaya nzima ya Njombe (Wanging'ombe) sasa amejenga ofisi hii ambayo sijapata kuiona katika Mikoa mingi iliyopiga hatua kimageuzi. Hii ni ofis ya Wilaya mpya ya Wanging'ombe
 
Attachments

  • PICT0415.JPG
    PICT0415.JPG
    1,019.2 KB · Views: 6,388
  • PICT0414.JPG
    PICT0414.JPG
    860.6 KB · Views: 5,326
  • PICT0406.JPG
    PICT0406.JPG
    867.2 KB · Views: 5,942
  • PICT0405.JPG
    PICT0405.JPG
    979.5 KB · Views: 5,711
  • PICT0392.JPG
    PICT0392.JPG
    1.1 MB · Views: 5,584
Kwa kweli huyu bwana namhusudu sana ni mtu muhimu sana ndani ya chama
 
aisee mpeni vyeo basi jamani aziidishe imani kwa chama
 
OMG!.....the guy is good! yaani huyu ni mfano wa kuigwa kabisa.
Hapo yapasa Dr Slaa na timu yake waende kufanya ufunguzi wa kufa mtu
 
aisee mpeni vyeo basi jamani aziidishe imani kwa chama
Yeye alisema yupo tayari kuwa Mlezi wa Chama wa Mkoa mpya wa Njombe so na hataki mkuwa kwenye ngazi yoyote ya maamuzi ila kushikiri kujenga Chama. Mpaka sasa amenunua pikpiki 8 kwa ajili ya uenezi katika Wilaya mpya ya Wanging'ombe na ameshagharimia safari za waenezi walioenda hadi Ludewa na Makete. Huyu Mzee ni mfano wa kuigwa sana
 
OMG!.....the guy is good! yaani huyu ni mfano wa kuigwa kabisa.
Hapo yapasa Dr Slaa na timu yake waende kufanya ufunguzi wa kufa mtu
Yap Dr Slaa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi utakaofanywa muda wowote baada ya kukamilika. Humo ndani kuna ukumbi mdogo wa mikutano, ofisi ya M/kiti. Katibu, Mtunza fedha, Bavicha, Bawacha, na tayari mipango ya kupta qualified personel kama Secretary na vifaa mbalimbali kama computer inafanyika
 
Kwa kweli huyu mzee ni mfano wa kuigwa maana anakijenga chama na hapo hapo analeta maendeleo kwa wananchi tena akiwa nje ya bunge sipati picha kama angekuwa mbunge wananchi wa jimbo hilo wangepata maendeleo makubwa! Miaka 4 siyo mingi kama Mungu akimpa uhai na nguvu.
 
  • Thanks
Reactions: PEA
ahsante kwa taarifa.
kwa mwendo huu hatoki mtu 2015!!!!
viva CDM,viva Mh Nyimbo...komaa komaa mpaka Makete kule watu wameuchapa usigizi wa pono...madiwani wote ni ccm I am ashamed of my home, i mean Makete.
 
Yap Dr Slaa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi utakaofanywa muda wowote baada ya kukamilika. Humo ndani kuna ukumbi mdogo wa mikutano, ofisi ya M/kiti. Katibu, Mtunza fedha, Bavicha, Bawacha, na tayari mipango ya kupta qualified personel kama Secretary na vifaa mbalimbali kama computer inafanyika
Yap yap....hayo ndiyo mambo yanayotakiwa kwa hiki kizazi chetu cha dot com. I cant wait kuona vingozi wa CDM makao makuu including Dr Slaa
wakitia timu yao hapo na kufanya uzinduzi wa kufa mtu mpaka magamba yachanganyikiwe.....hasa mama Anna makinda
 
Nilipita huko Njombe september Mzee Nyimbo amekuwa akifungua matawi kijiji kwa kijiji na kuvunjavunja ngome ya CCM mpaka sasa bendera za CHADEMA zinapepea kila kijiji na ndani ya vitongoji, kikubwa ni wadau kumpa support katika uchaguzi wa serikali za mitaa ili tusimike wenyeviti wa vitongoji na vijiji wa kutosha ili kusafisha njia ya 2015. Lengo ni kusajili T2015CDM.
 
nakumbuka uncle BEN alimwambia by hooks or crooks Nyimbo hutarudi bungeni,go Nyimbo,nguvu ya umma itakurudisha
 
Huwa namkubali sana huyu jamaa, aliwahi muambia mkapa mtu unafuga mbwa, alafu unaogopa rudi nyumbani kwako eti mbwa mkali
 
  • Thanks
Reactions: PEA
Wote tunajua mambo ya ajabu yaliyofanywa na CCM wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2010 katika Jimbo la Njombe Magharibi. Baada ya kufanyiwa hujuma ndani ya CCM na baadae akigombea kwa Chadema Thomas Nyimbo aliamua kutokwenda mahakamani na badala yake aliamua kukata rufaa kwa wananchi.
Kwa ufupi CCM Njombe Magharibi iko taabani na ushahidi ni ofisi hii ambayo Mh.Nyimbo nbaada ya kufanikiwa kupata wanachama katika Wilaya nzima ya Njombe (Wanging'ombe) sasa amejenga ofisi hii ambayo sijapata kuiona katika Mikoa mingi iliyopiga hatua kimageuzi. Hii ni ofis ya Wilaya mpya ya Wanging'ombe
Asee Mgosa hiyo avatar umeipata wapi tena?? Eti Nyoka 'ajivua gamba' kwa juu pale alafu kwa chini nyoka anavyotoka Eti ' bado nyoka lakini'
 
Asee Mgosa hiyo avatar umeipata wapi tena?? Eti Nyoka 'ajivua gamba' kwa juu pale alafu kwa chini nyoka anavyotoka Eti ' bado nyoka lakini'
Nilichukua kwa Nape Nnauye Mkuu, ndio hali halisi
 
Yeye alisema yupo tayari kuwa Mlezi wa Chama wa Mkoa mpya wa Njombe so na hataki mkuwa kwenye ngazi yoyote ya maamuzi ila kushikiri kujenga Chama. Mpaka sasa amenunua pikpiki 8 kwa ajili ya uenezi katika Wilaya mpya ya Wanging'ombe na ameshagharimia safari za waenezi walioenda hadi Ludewa na Makete. Huyu Mzee ni mfano wa kuigwa sana

Kwa mila na desturi za wananchi wa mkoa wa Njombe sasa CCM inatakiwa ingolewe kabisa, kwani imekosa muelekeo na kukumbatia ufisadi. Kama upinzani ungekuwepo wakati ule baba (Tunte) angechukua ubunge kupitia upinzania. Bado kidogo mkoa wanjombe utaizidi Arusha.
 
Back
Top Bottom