Hai kwachafuka; Viongozi wa CCM waendelea kula kichapo! Dr.feki anusurika kula kichapo

Niliisubiri sana siku hii, niione TZ ya tofauti, Tz yenye watu wenye kuona ukweli, wasio wanafiki tena! asanteni wana-HAI
 
tatizo la viongozi wa serikali ni kufanya kazi kimazoea, unamkuta DC anazungumza na wananchi, analeta uccm. wapi na wapi m/kiti unawaita wananchi wako mkutanoni halafu umevaa kimagamba magamba, ofisi za serikali za mtaa mnazifanya zenu, mtapigwa sana mara hii kwani wananchi wamebadilika na CDM inaendelea kuwapa somo la uraia
 
ni wakati viongozi kuwatumikia wananchi waliowachagua na si matumbo yao, kiongozi ni mtumishi wa wananchi na si mtawala. tunaweza kushuhudia mengi mwaka huu kama hawatabadilika.
 
Lazima wapewe kichapo akili ziwakae sawa. Walizoea enzi za chama kushika hatamu. Kwa sasa lazima wajue kutenganisha mambo ya chama na serikali.
 
Where is Nape? Sijasikia vp yeye anakopita kuna usalama ngoja aingie mikoa yenye akili.
 
Na bado chama cha mapapa kitapata kifinyo2 wao wangejua wangejifua MAGAMBA kabla umma haijabadilika. Wapumbavuuu!!
 
jamani mbona hawa jamaa zetu wanapigwa tu? kweli walichaguliwa na nani hawa? mbona chadema wanashangiliwa kila waendapo? kweli uongo hujitenga na ukweli hudhihiri, yaani kulikuwa na mabishano nani alichaguliwa na nani alichakachuwa siku si nyingi mungu akasema atayamaliza mabishano kwa kuonyesha ukweli, sasa tunajuwa ni nani alishinda na ni nani alichakachuwa? mungu mkubwa kweli
 
mimi naunga mkono wapigwe ili wajifunze kuwaheshimu waliowaweka madarakani.

kwa mfano yaliyotokea kule tarime, kama wananchi wasingefanya walichokifanya yule mbunge na ccm yake angewadharau sana, lakini baada ya tukio lile hata kama akienda tena leo au kesho ataenda kwa adabu.

hii inanitia sana moyo kwamba wananchi tuliodharauliwa sana na kupelekwapelekwa na kundi la watu wachache jinsi wanavyojisikia hapa nyuma sasa linaelekea ukingoni.

ninaomba wananchi wote tunaoipenda nchi yetu tusaidie chadema kwa mawazo, nguvu zetu pale zitakapohitajika na kifedha pia ili waendelee kutuelimisha ili kila mmoja aelewa haki yake kama mtanzania.
ni wakati wa sisi wananchi kuwa mstari wa mbele katika kudai haki zetu na sio kuwaachia watu wache.
 
:biggrin1:Teh teh teh............. acheni mwana wa kifipa nicheke mie, hapo kitakachofuata nadhani ni kuwabaka:pound::pound::pound::pound:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom