Hahahahahahaha Malaria Sugu!!

Kwanza sijui ni mwanamke au Mwanaume?ni moja wa member pasua kichwa sana!na topic zake za kidini humu ndani,nimechunguza kitu kimoja toka kwake ni moja wa medber ambao awapendwi hata kuonwa humu ndani na yeye anajua icho kitu kuwa anatia kichefu chefu cha moyo paka basi,mimi cwezi kumenda wala kumchukia coz ataniumiza kichwa tu,ila kaka au dada Ms big up kwa kuwasumbua vichwa humu Jf,Mia,Mx

sasa tukueleweje?? Figanigga mzee wa Mia ama Mx =Malaria Sugu???

Utajuta kuzaliwa na hii thread yako..utapata usicho tarajia!
 
Kwanza sijui ni mwanamke au Mwanaume?ni moja wa member pasua kichwa sana!na topic zake za kidini humu ndani,nimechunguza kitu kimoja toka kwake ni moja wa medber ambao awapendwi hata kuonwa humu ndani na yeye anajua icho kitu kuwa anatia kichefu chefu cha moyo paka basi,mimi cwezi kumenda wala kumchukia coz ataniumiza kichwa tu,ila kaka au dada Ms big up kwa kuwasumbua vichwa humu Jf,Mia,Mx
Hata wewe hutakiwi humu! Ni Janga!

Back
Top Bottom