hahahahahah wakenya banah.....

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Mwanzoni mwa miaka ya1980 timu ya Nchini Kenya ilikuwa na Mchezaji wa Taifa anaeitwa OTIENO MBOO, Siku moja akawa Majeruhi, Kesho yake Magazeti yote KENY yakaandika "WAKENYA KUCHEZA BILA MBOO"
Kocha na Rais wa KFF wakaamuru vichwa vya habari vibadilishwe,haya vikabadilishwa vikawa hivi "WAKENYA KUCHEZA, MBOO NJE"
Kesho yake Uwanja mzima ulijaa Madada na Mashoga kibao...

Hahahahaha walikwenda kuangalia nani ana kibamia nani hana...ile kitu ndo starehe yetu wadada lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Eetiiieeee!!!! Mnapenda mipini sio?
 
Mwanzoni mwa miaka ya1980 timu ya Nchini Kenya ilikuwa na Mchezaji wa Taifa anaeitwa OTIENO MBOO, Siku moja akawa Majeruhi, Kesho yake Magazeti yote KENY yakaandika "WAKENYA KUCHEZA BILA MBOO"
Kocha na Rais wa KFF wakaamuru vichwa vya habari vibadilishwe,haya vikabadilishwa vikawa hivi "WAKENYA KUCHEZA, MBOO NJE"
Kesho yake Uwanja mzima ulijaa Madada na Mashoga kibao...

kwiih kweh qwi kw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom