hahahahaa

Badu

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
407
106
Kuna siku PAPA Benedikto
alikwenda kufanya shopingi,
akamwambia dereva wake, "Leo
nitaendesha gari mimi mwenyewe
na hakuna msafara, wewe kaa
siti yangu". Basi walipofika barabarani trafiki akalisimamisha
gari, alipoangalia ndani akamwona
Papa ndie kakaa kwenye uskani,
basi akatoka nduki, akaripoti kwa
bosi wake, bosi nae akaja. Bosi
nae alipoona akatoka nduki pia, basi wakiwa wanakimbia yule
trafiki akamuuliza bosi wake,
"Sasa mbona na wewe unakimbia
mkuu?" Bosi akajibu, "KAMA PAPA
NDO ANAMWENDESHA , BASI YULE
KAMA SIO MUNGU LAZIMA ATAKUWA YESU AU MALAIKA MKUU, KAMA SIO
BASI LAZIMA ATAKUWA MJUMBE
MZITO TOKA MBINGUNI, TUTIMUE
TUSIJE KUPOFUKA MACHO"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom