Hahahaa GAZETI BORA LA MWANANCHI

Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....

JAMANI umeenda vitani na wanajeshi kumi(10) watatu kati kumi wametekwa unarudi na WANAJESHI(7) alafu kepteni unashangilia umeshinda kweli? KAMA VIONGOZI WA TANZANIA WANAWAZA KAMA WEWE UMASIKINI UTAKUWA NYIMBO ZA KILA SIKU sio vicdi kama unavyowaza bali niwatu wanaowaza mbali
:nimekataani sawa na yale mawazo ya jamaa fulani wanaosema mkapa alikula mbona hamkusema sasa hii ni zamu ya kikwete acha nae hale
 
Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....

Hawa Mwananchi wafungiwe tu ni wazandik na wanafik.
 
Yeye mwananchi anafanya biashara, story aliyoiandika imempa milage kwenye copy sales, vinginevyo angeandika mnavyotaka wengine asingeuza, na huo uandishi wake umemfanya awe anauza si chini ya nakala 45000 wakati uhuru na habari leo hawauzi zaidi ya nakala 2500 kwa kuandika story za aina unayotaka wewe
 
CCM walikuwa hawaamini kama watachomoka kwenye huu uchanguzi , ndo maana wanaona wameshinda wakati wamepoteza baadhi ya kata; Hii ni ishara nzuri kwamba kisaikolojia wana CCM na viongozi wao; washaiona CDM ni tishio ndo maana hata kupata hizi 22 wamefurahi kweli.
 
HONEY K??.........seriously?
wewe ni Ke au Me?
Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....
 
Mi ni mpenzi wa CDM, na kila siku huwa nanunua gazeti makini la Mwananchi. Lakini siku hizi linatuangusha sana, badala ya kutuambia CCM kashinda viti vingapi na CDM kashinda vingapi, wanasema tu 'CCM yapoteza viti vinne'
Mbaya zaidi ni kwenye habari za michezo, Edo Kumwembe ni mchambuzi wa habari za michezo wa magazeti ya Mwananchi na Mwanasport na pia ni kiongozi wa timu ya Coastal Union ya Tanga, Mwananchi ya leo habari kubwa ni Nsa job avunjika mguu(mchezaji wa Coastal) na mwanasport wametumia kurasa tatu (full page with pictures) kuandika habari ya kuvunjika mguu Nsa Job, wakati habari kubwa leo hapa tanzania ya michezo ni Azam kumfukuza kocha wake mkuu.
Conflict of interest.
 
Honey K Hivi ukiwa na shilingi kumi, ukapoteza tatu; nami nikiwa na shilingi moja, nikaongeza mbili. Nani atakuwa yuko better off hapo?

Usipojua hili, utaona Mwananchi wameandika utumbo....lakini ukielewa maana yake...utajua wanajua wanachokifanya!!
 
Last edited by a moderator:
Uchaguzi huu umetoa picha halisi ya uchaguzi 2015 Chadema ndo basi tena walie tu hawana chao hata wabunge watakosa

Ukubwa wakichwa si dalili ya akili.Wabunge,madiwani wa CCM ni wengi lakini ni bogus kweli kweli! Heri wabunge na madiwani wachache wa CDM wanaotoa hoja na kujenga hoja zenye mantiki kuliko mamia ya mafisadi wa magamba. Mbunge mmoja wa CDM ni sawa na wabunge 25 wa CCM.
 
Ni nini ni nini? Mwananchi nini na ukweli nini? Hii ni nchi yetu, Na hapa ni ninyumbani kwetu, pamoja kama MAISHA PLUSS, Watz Tuamke.
 
Back
Top Bottom