Kaseme maneno hayo mbele ya SLAA na MBOWE kama hujapigwa mawe na wana wa Redbrigade. Yaani nguvu yote ile ya M4C, Viongozi wote wa kitaifa kuzungukia kata zote kwa kambeni huku CCM wakisimama majukwaani wagombea wenyewe, mwisho wake wanaibuka na nyongeza ya viti 3 tu, Acha kabisa kuongea wewe, tathmini za kukuwa kisiasa huwa hazipimwi kichovu hivyo.Akili za kushikiliwa na gundi ya maji tabu sana.....Kabla ya hapo walikuwa na wakishikilia viti vingapi? na jee, baada ya uchaguzi wamepata vitivipya vingapi...i mean CCM na CDM...
Na kama Mwananchi linakukera si mnalo gazeti la wafu uhuru?? Jana si liliandika pia kuwa Nassari (MB) alifyatua risasi daraja mbili??si ndizo habari mnazozitaka? Hujalazimishwa kusoma mwananchi kwani wananchi tupo na tutalisoma hata kama mafisadi hampendi.