hahaha.....tiGO na Facebook bila internet kwenye simu!!

Pat Gucci

Senior Member
Jun 7, 2011
140
19
habari zenu,

huduma iliyoletwa na tiGO ya kutumia Facebook bila internet kwenye simu yako kwa kupiga *148*01*4*2#...naona mizinguo tu maana kila unapojaribu ingia kwenye akaunti yako wanakuambia "system busy"....naona bora waisitishe tu!
 
habari zenu,

huduma iliyoletwa na tiGO ya kutumia Facebook bila internet kwenye simu
yako kwa kupiga *148*01*4*2#...naona mizinguo tu maana kila unapojaribu
ingia kwenye akaunti yako wanakuambia "system busy"....naona bora
waisitishe tu!

Nadhan bado wapo kwenye majaribio.
 
bonge la huduma,hata simu yng ya tochi itafunction,ha ha ha ah,tech ni noma aiseeee,but nafikiri baadhi ya features kama picha nn kwa cm kama za tochi hazitaweza kudisplay
 
mm yamenikuta, tena ukijaribu zaidi wanakwambia andika e-mail yako au jina unalotumia ktk facebook sijui tunaenda wapi hii technology itatumaliza maana ipo itakayosaidia au kutumaliza km Bahrain au Yemen
 
Back
Top Bottom