Hahaha... Pale Mzungu anapojua maneno matatu tu ya Kiswahili

hossey

JF-Expert Member
May 10, 2015
541
889
Baada ya kukaa bongo mzungu alijifunza maneno matatu
JAMBO,SALAMA NA SAFI SANA.

Siku moja alikutana na #mdau mmoja hivi. Ikawa hivi;

Mzungu~ jambo?

Mdau~ sijambo.

Mzungu~ salama?

Mdau~ si salama, nimefiwa....

Mzungu~ SAFI SANA....

JE WAJUA MDAU ALIFANYAJE?Mimi niliondoka sijui kitu kilichotokea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom