Baada ya mkuu wa k aya kubariki zile posho za wabunge ambazo kwa uchache (bila vikao vidogo ndani ya vikubwa) ni sh.330,000 kwa siku ambapo kwa siku mbili Mbunge anakuwa amechukua kiwango ambacho ni sawa na mshahara wa Daktari wa level ya Registrar. Huyu ni kiumbe aliyesoma chuo kwa miaka isiyopungua mitano.
Kumbe posho ya Mbunge kwa mwezi inalipa zaidi ya madktari kumi wa kitanzania...
Kumbe posho ya huyu mbunge wetu kwa mwezi inalipa posho za Madaktari wapatao 60 kwa mwezi.
Hah, Kumbe wabunge hawajawahi kukopwa posho...
Kweli Mungu shuka angalau kwa kipande hii ya Tanzania ufanye vitu vyako kwa sisi tunaofanyiana udhalimu huu. Mioyo yetu imejaa unafiki hata haya imetutoka usoni kwetu. Tunaongea kwa shingo upande konyesha huruma kumbe mioyo yetu imejaa ukatili na uuaji, unafiki na choyo. Mungu shika ufunue mioyo yetu tuaibike...