Elections 2010 Hadija Kopa amtukana Slaa!!

hivi nyinyi ni ma tigo nini??? Yaani mmekaa kiumbea umbea tu!!! Sasa sera zimewaishia? Mumefanya issue ya hadija kopa kuwa ndo sera zenu?

Munalalamika tuuuu! Mbona yule mgombea wenu wa chadema pale Temeke nae kamtukana Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya Muungano matusi ya nguoni? Sasa si ni jino kwa jino?

Munamdhalilisha Rais wa tanzania kwa kumpakazia kuwa Hadija Kopa ni hawara wake!! Lakini nyinyi mukiambiwa Slaa kanyakuwa mke wa mtu na kulala nae guest huko mwanza mpaka mungu akamuadhiri kwa kumvunja mkono bafuni munalia!!!

Hata kama nyinyi ni wapinzani wa JK si utamaduni wetu wa TZ kumtukana Rais alieko madarakani na kumvunjia heshima maana mila na desturi zetu haziruhusu matusi!!!

Sasa madhali JF mumeshaanza pia kuwatusi akina Mama wa Tanzania basi muwe tayari kukubali matusi yetu na kura tutampa kiongozi mwenye heshima alie na mke wa halali na wala sio mke wa kuokoteza!!!

You couldn't get a clue during clue mating season in a field of clues if you
smeared your body in musk and did the clue mating dance.
 
Kwani huyo slaa katukanwa tusi gani hasa?

soma Majira ya Leo. ''Wapinzani ni Majuha'' JK. Lakini hatushangai kama anaongozana na watu wa mipasho naye lazima awe mzee wa mipasho. Ukitembea na na mwizi lazima utakuwa na element za uizi.
Kamanda KOVA kamata na JK, hawezi kuita ma Prof na Dr. Majuha mbele ya Kadamnasi.
 
hivi nyinyi ni ma tigo nini??? Yaani mmekaa kiumbea umbea tu!!! Sasa sera zimewaishia? Mumefanya issue ya hadija kopa kuwa ndo sera zenu?

Munalalamika tuuuu! Mbona yule mgombea wenu wa chadema pale Temeke nae kamtukana Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya Muungano matusi ya nguoni? Sasa si ni jino kwa jino?

Munamdhalilisha Rais wa tanzania kwa kumpakazia kuwa Hadija Kopa ni hawara wake!! Lakini nyinyi mukiambiwa Slaa kanyakuwa mke wa mtu na kulala nae guest huko mwanza mpaka mungu akamuadhiri kwa kumvunja mkono bafuni munalia!!!

Hata kama nyinyi ni wapinzani wa JK si utamaduni wetu wa TZ kumtukana Rais alieko madarakani na kumvunjia heshima maana mila na desturi zetu haziruhusu matusi!!!

Sasa madhali JF mumeshaanza pia kuwatusi akina Mama wa Tanzania basi muwe tayari kukubali matusi yetu na kura tutampa kiongozi mwenye heshima alie na mke wa halali na wala sio mke wa kuokoteza!!!

Hadija Kopa hakumaanisha kumtukana Dr. Slaa, bali analilia mtalimbo........

Na wewe Bi.Zubeda usiwe na jazba, kama ni mfuasi wa theory ya Hadija kopa, basi si useme tu utasidiwa? nchi hii ina wataalamu wa huduma mbalimbali hususani zile za muhimu kwa ustawi wa hisia za watu.
 
hivi nyinyi ni ma tigo nini??? Yaani mmekaa kiumbea umbea tu!!! Sasa sera zimewaishia? Mumefanya issue ya hadija kopa kuwa ndo sera zenu?

Munalalamika tuuuu! Mbona yule mgombea wenu wa chadema pale Temeke nae kamtukana Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya Muungano matusi ya nguoni? Sasa si ni jino kwa jino?

Munamdhalilisha Rais wa tanzania kwa kumpakazia kuwa Hadija Kopa ni hawara wake!! Lakini nyinyi mukiambiwa Slaa kanyakuwa mke wa mtu na kulala nae guest huko mwanza mpaka mungu akamuadhiri kwa kumvunja mkono bafuni munalia!!!

Hata kama nyinyi ni wapinzani wa JK si utamaduni wetu wa TZ kumtukana Rais alieko madarakani na kumvunjia heshima maana mila na desturi zetu haziruhusu matusi!!!

Sasa madhali JF mumeshaanza pia kuwatusi akina Mama wa Tanzania basi muwe tayari kukubali matusi yetu na kura tutampa kiongozi mwenye heshima alie na mke wa halali na wala sio mke wa kuokoteza!!!

Kwa hiyo wamtukana nani sasa . Invisible au ? Tunajua matigo ni nini na huna sababu ya kututukana kivile . Kama mtu alimwuliza mwenzie humu ndani kama ni mjinga au la akawa banned sijui wewe unasubiri nini kututukana wote .
 
hivi huyu nae wa kujadiliwa???/:nono::nono::nono::nono: ni kati ya yale ma-vuvuzela ya chama yaloahidiwa mengi ambayo they will never receive!!!!
 
leo kwa masikio yangu nilikuwepo mwembe yanga hadija kopa anasema hivi dr slaa kaanguka choo cha hoteli kaumia je akiingia choo cha ikulu akaanguka siatakufa je haya si matusi au kashifa na chadema waanze kuitisha press kulalamikia haya wadau mnasemaje? kumbuka wakati huo yuko jukwaani anatoa burudani
A%20S-baby.gif

Kwa viwango ambavyo CCM wenyewe wamejiwekea hayo ni matusi makubwa tena ya nguoni sijui kamanda Kova kajificha wapi...........
 
Save time by ignoring uyu Kopa asije akajisifu kuwa ata JF tunamdiscuss
 
Nilikuwa napitia vijana wako wanavyoporomosha matusi kuhusu Khadija Kopa,kifupi kuna kila dalili ya kuwa uhuru huu wa kutoa maoni unakiuka maadili yetu ya kitanzania tujifunze katika msemo huu "UHURU BILA MIPAKA NI SAWASAWA NA WAZIMU,NA UTII BILA YA UHURU NI SAWASAWA NA UTUMWA" sisi tupo huru lakini tusivuke mipaka.:yield:
 
Mambo ya Kopa kuolewa na kijana si ya kushangaza mtu ajiulize tu BABA YAKE ALIMPENDEA NINI MAMA YAKE KINYUME CHAKE NI SAWA.Tanzania hatujafikia hapo si kwa siasa wala kwa utamaduni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kumjadili Hadija Kopa katika mtandao huu wa great thinkers ni kushusha hadhi yake; please acheni huo mjadala tujadili vitu vyenye tija. Huyu mama hajadiliki kwani kimaadili tu atachafua hewa hapa.
 
Mwacheni kibibi huyo ajikombe anafikiria atapatiwa ubunge wa kuteuliwa. Uzee nao unashida nyingi kama hukutumia busara za kuzaliwa utakuendesha. Kajichokea anataka kutuharibia hiyo mipasho ni ya kule kajamba nani siyo hapa. Hii ni safu ya waungwana si ya kujadili manayaki wanaotaka kujizolea sifa wasizokuwa nazo.
 
hivi nyinyi ni ma tigo nini??? Yaani mmekaa kiumbea umbea tu!!! Sasa sera zimewaishia? Mumefanya issue ya hadija kopa kuwa ndo sera zenu?

munalalamika tuuuu! Mbona yule mgombea wenu wa chadema pale temeke nae kamtukana mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano matusi ya nguoni? Sasa si ni jino kwa jino?

munamdhalilisha rais wa tanzania kwa kumpakazia kuwa hadija kopa ni hawara wake!! Lakini nyinyi mukiambiwa slaa kanyakuwa mke wa mtu na kulala nae guest huko mwanza mpaka mungu akamuadhiri kwa kumvunja mkono bafuni munalia!!!

hata kama nyinyi ni wapinzani wa jk si utamaduni wetu wa tz kumtukana rais alieko madarakani na kumvunjia heshima maana mila na desturi zetu haziruhusu matusi!!!

sasa madhali jf mumeshaanza pia kuwatusi akina mama wa tanzania basi muwe tayari kukubali matusi yetu na kura tutampa kiongozi mwenye heshima alie na mke wa halali na wala sio mke wa kuokoteza!!!
zubeda ndala ndefu...............
 
Jamani, msinitukanie Zubeda wangu.

Zubeda hata utukane vipi, mie bado nakupenda tu.

Ngoja nikuwekee na wimbo ukuburudishe:

Love you still, Sikonge.
 
Last edited by a moderator:
Kwa muda wa kutosha nimewatazama CHADEMA na mambo yao wanayofanya...ni watu makini...wako 'busy' kuelezea sera na siyo kudeka kama wanavyodeka CCM.

Dkt Slaa ndiye mtu aliyetukanwa kuliko mgombea wa kiti chochote katika uchaguzi huu, lakini sijawahi kumsikia akideka. Nimemwona JK akideka Kiwalani kuhusu kutukanwa katika mkutano wa CHADEMA uliofanyika mwembeyanga....na mikutano mingi sana jK amekuwa akideka sana.

CCM wamekosa cha kuwaambia wananchi na sasa wanatafuta 'public sympathy'. wanatafuta kuhurumiwa. Hatumpi kura mtu kwa kumuhurumia tunamchagua mtu kwa uwezo wake wa kutatua kero tulizonazo watanzania.

Dr. Slaa amethibitisha hilo. DR SLAA ANAWEZA.

CCM wanadeka na ndio maana wanakwepa midahalo. JK amekimbia mdahalo kwa sababu za MADEKO. ANADEKA JK ANADEKA ...ANADEKA...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom