Elections 2010 Hadija Kopa amtukana Slaa!!

Kwani huyo slaa katukanwa tusi gani hasa?
hivi jeikei analalama saana ametukanwa tusi gani???
yeye ni mkuu wanchi hivyo kwa nini unadhani vyombo vya dola vimekaa pembeni havimsaidii?
mtikila yupo mahakamani kwa kmtukana na uchochezi.

acheni ujuha (kwa mujibu wa jeikei)
 
Mchaka Mchaka, umegusa moyo wangu mkuu.....huyu mtu anaitwa Kibonde amekuwa mjinga kupita maelezo...Nadhani tunapaswa kutengeneza maada maalum kwa ajili ya huyu mtu, na soon tuanze kampeni juu ya kutokusikiliza hiyo radio ya mashoga.....i am no long interested na hiyo Upuuzi FM.
 
Kuna mwenye cv ya Hadija Kopa? Ni kumsamehe bure tu alinde unga wake.

birth date :not recorded
birth place: found in the pit latrine
education : madrassa al nuur, jambiani
experience: 40yrs singing taarab in bars
2months rescuing Jaeykey from pitfall
 
Hehehe.. Rescuing au falling with him!! hawaokoki ths tym
 
hivi nyinyi ni ma tigo nini??? Yaani mmekaa kiumbea umbea tu!!! Sasa sera zimewaishia? Mumefanya issue ya hadija kopa kuwa ndo sera zenu?

Munalalamika tuuuu! Mbona yule mgombea wenu wa chadema pale Temeke nae kamtukana Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya Muungano matusi ya nguoni? Sasa si ni jino kwa jino?

Munamdhalilisha Rais wa tanzania kwa kumpakazia kuwa Hadija Kopa ni hawara wake!! Lakini nyinyi mukiambiwa Slaa kanyakuwa mke wa mtu na kulala nae guest huko mwanza mpaka mungu akamuadhiri kwa kumvunja mkono bafuni munalia!!!

Hata kama nyinyi ni wapinzani wa JK si utamaduni wetu wa TZ kumtukana Rais alieko madarakani na kumvunjia heshima maana mila na desturi zetu haziruhusu matusi!!!

Sasa madhali JF mumeshaanza pia kuwatusi akina Mama wa Tanzania basi muwe tayari kukubali matusi yetu na kura tutampa kiongozi mwenye heshima alie na mke wa halali na wala sio mke wa kuokoteza!!!
 
Kwa kuwa CCM inamiliki polisi, basi ikitokea wapinzani wawatukana wagombea wao basi hukamatwa mara moja, lakini wanapotukanwa wa upinzani hakuna kinachotokea. Ukosefu wa haki ndiyo huchochea hasira dhidi ya chama tawala.
 
Kopa1.jpg
 
Kwa mtaji huu hamwezi kushinda!

Mukulu anao wake wa halali wangapi? SK::VK::AK::SS:: and the list goes on!
 
Kwa kuwa CCM inamiliki polisi, basi ikitokea wapinzani wawatukana wagombea wao basi hukamatwa mara moja, lakini wanapotukanwa wa upinzani hakuna kinachotokea. Ukosefu wa haki ndiyo huchochea hasira dhidi ya chama tawala.

Ni kweli usemayo. CCM hupendelea kutumia polisi itakavyo, lakini mara nyingi huwa inawarudia wao. Huko Maswa Shibuda alikamatwa kwa agizo la Makamba, polisi walitii amri pamoja na kwamba walijua hana kosa lolote. Makamba alifikiri hiyo itakuwa na lengo la kuijenga CCM kumbe ndiyo imempa umaarufu Shibuda na atashinda. Kuchamba kwingi nako.....!!!
 
Huyu hasbandi kaoa au kaolewa, hivi kweli kakosa kote katua kwa huyu jimama?

Mkuu huyo kajiolesha kwa hilo jimama liso na haya kubeba vijana wadogo na kuwanyonya damu buree! sanamu la michelin liso himili tope, kazi yake kuwastarehesha kwa ngono top ccm yote inapokutana kizota!
 
Hivi kuna haja ya kujadili kuhusu huyu PASHKUNA wa NEC? Hana hadhi hiyo ya kujadiliwa na great thinkers.
 
Mchaka Mchaka, umegusa moyo wangu mkuu.....huyu mtu anaitwa Kibonde amekuwa mjinga kupita maelezo...Nadhani tunapaswa kutengeneza maada maalum kwa ajili ya huyu mtu, na soon tuanze kampeni juu ya kutokusikiliza hiyo radio ya mashoga.....i am no long interested na hiyo Upuuzi FM.
Mkuu bado unamsikiliza tuuu haaaaa mi thamani yake imeshuka hata hiyo redio siisikilizi tena!
 
hivi nyinyi ni ma tigo nini??? Yaani mmekaa kiumbea umbea tu!!! Sasa sera zimewaishia? Mumefanya issue ya hadija kopa kuwa ndo sera zenu?

Munalalamika tuuuu! Mbona yule mgombea wenu wa chadema pale Temeke nae kamtukana Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya Muungano matusi ya nguoni? Sasa si ni jino kwa jino?

Munamdhalilisha Rais wa tanzania kwa kumpakazia kuwa Hadija Kopa ni hawara wake!! Lakini nyinyi mukiambiwa Slaa kanyakuwa mke wa mtu na kulala nae guest huko mwanza mpaka mungu akamuadhiri kwa kumvunja mkono bafuni munalia!!!

Hata kama nyinyi ni wapinzani wa JK si utamaduni wetu wa TZ kumtukana Rais alieko madarakani na kumvunjia heshima maana mila na desturi zetu haziruhusu matusi!!!

Sasa madhali JF mumeshaanza pia kuwatusi akina Mama wa Tanzania basi muwe tayari kukubali matusi yetu na kura tutampa kiongozi mwenye heshima alie na mke wa halali na wala sio mke wa kuokoteza!!!

Jamani sjaelewa hapo nilipo-bold, hivi ni kwamba uchaguzi umeshafanyika na tayari JK yuko madarakani au? Naomba ufafanuzi
 
Hivi kuna haja ya kujadili kuhusu huyu PASHKUNA wa NEC? Hana hadhi hiyo ya kujadiliwa na great thinkers.
Ni kweli
 
Kweli JK kaishiwa, mpaka waimba taarabu wapo kwenye kampeni zake??? Mnasubiri ishara gani nyingine ili mwamini JK hana chake 31/10/2010!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom