...........hadi watakapopeana migongo!

That is the ideal side of it. But on the real side....
Na hapo pa real side ndio tunapotakiwa kupambana napo tusiziruhusu emotions zetu kuangukia katika ulipizaji kisasi. Inasemwa, "Kulipza kisasi (real side) ni kutamu, lakini kusamehe (ideal side) kunaleta amani zaidi kwa mtendwaji."

I prefer amani ya kudumu kuliko utamu wa muda.
 
MAMMAMIA
Asante kwa ufafanuzi wako, so possibility ya mwanamke/mwanaume kukomoa kila mwanaume/mwanamke kwakuwa aliumizwa ipo?
 
Last edited by a moderator:
ingekuwa kila muathirika wa mapenzi anatoka alama watu wangekuwa kama CHUI.ivi hii kitu inakwepeka kweli?
 
MAMMAMIA
Asante kwa ufafanuzi wako, so possibility ya mwanamke/mwanaume kukomoa kila mwanaume/mwanamke kwakuwa aliumizwa ipo?
KAUNGA.
Kama nilivyosema, hiyo ya kukomoana/kulipizana kisasi ipo, lakini mimi siichukulii kama ni kanuni ya jumla kwa wanaoumizwa wote. 1. Wapo wanaoumizwa, pengine bila ya wao kuwa wakosa, na bado wakavumilia, wakasamehe, wakaishi na kuruhusu wengine waishi. 2. Wengine kinyume chake, "umenitenda, nitakutenda; umenikopesha moja, nitakulipa kumi." Ndio maisha.

Binafsi ninahiari chaguo la kwanza. Muda ambao ningeutumia kwa kutayarisha kisasi, ungenifaa kupiga hatua mbele kwa lenye maslahi zaidi kuliko kuganda nilipo au kurudi nyuma kwa sababu tu nataka "kujisikia raha kwa kuona kisasi changu kinafanya kazi kwa aliyeniumiza."
 
Na hapo pa real side ndio tunapotakiwa kupambana napo tusiziruhusu emotions zetu kuangukia katika ulipizaji kisasi. Inasemwa, "Kulipza kisasi (real side) ni kutamu, lakini kusamehe (ideal side) kunaleta amani zaidi kwa mtendwaji."

I prefer amani ya kudumu kuliko utamu wa muda.

tuko wote MAMMAMIA[MENTION]@MAMMAMIA[/MENTION]
 
KAUNGA.
Kama nilivyosema, hiyo ya kukomoana/kulipizana kisasi ipo, lakini mimi siichukulii kama ni kanuni ya jumla kwa wanaoumizwa wote. 1. Wapo wanaoumizwa, pengine bila ya wao kuwa wakosa, na bado wakavumilia, wakasamehe, wakaishi na kuruhusu wengine waishi. 2. Wengine kinyume chake, "umenitenda, nitakutenda; umenikopesha moja, nitakulipa kumi." Ndio maisha.

Binafsi ninahiari chaguo la kwanza. Muda ambao ningeutumia kwa kutayarisha kisasi, ungenifaa kupiga hatua mbele kwa lenye maslahi zaidi kuliko kuganda nilipo au kurudi nyuma kwa sababu tu nataka "kujisikia raha kwa kuona kisasi changu kinafanya kazi kwa aliyeniumiza."

Ninaafiki misimamo hii ya MAMMAMIA........[MENTION]@MAMMAMIA[/MENTION]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom