Majimbo 16 yenye wabunge tayari na madiwani karibu 400 na ushee (bado kutangazwa)!!!! moja ni hilo nililozungumzia !!!. Bahati mbaya au nzuri huu ndio ukweli ! Japo natamani hali isingekuwa hivi ili kuwe na ushindani wa kweli !Hiyo post yako ina mushkeli. Una maana wapinzani hawakusimamisha mtu nafasi ya ubunge wala udiwani jimbo zima? Mhhh! Tutajie hilo jimbo tukushike ugoni.
NyunyuThese polls does not reflect elections, as voters are few, have a concentrations of only internet users, which we all know is minor as compared to the nearly 10millions voters registered this time.
Cha msingi, CHADEMA pamoja na kuandaa mikakati mizuri, pia wajiandae na plan B kuayakabili matendo kama wizi wa kura, vitisha, ukandamizaji etc. Fanyeni kama uchaguzi tarime, jinsi wananchi walivyoonyesha ujasiri kuchunga vituo, no ones inn or out after polls. You should have some one leading your tactical team; which thinks and simulates all technics which have been used by CCM previously.
Unajua Mkuu Steve, Daily News wanachekesha kweli kweli kwani ni kama vile wako embarrassed na matokeo ya polls wanazozianzisha wenyewe. Ni vigumu kuamini kuwa Daily News inaendeshwa kwa kodi za wananchi, yaani akina Makwaia wamekuwa kama wasemaji wa CCM - angalia leo anavyojaribu kuuma na kupulizia kuhusu mambo ya kihuni yaliyojitokeza katika kura za maoni ndani ya CCM. Kila nikiifungua Daily News picha ninayoipata ni hali ya woga iliyotanda si ndani ya CCM tu bali ndani ya serikali na vyombo vyake. Hali hii kweli inanitisha kwani ni dalili ya mtu anajua atazama na tayari anapanga namna ya kufa na mtu, hayuko tayari kufa peke yake - ukweli ni kuwa CCM wanapanga kuitumbukiza nchi kwenye machafuko kama mambo yatawaendea vibaya.