Elections 2010 Hadi sasa Slaa anaongoza akifuatiwa kwa mbali na Kikwete (Polls) DailyNews

This is not a scientific poll therefore I wouldn't put much stock in it...

Heck, I don't even trust the so called scientific polls anyway....

Mkuu leo vipi, umeamka vibaya nini? ("the" missing, "in" has to be replaced by "on")
 
Za JF zilikuwa zimekaa kichadema mno !!! lol

naomba ufafanue hii sentensi "za JF zimekaa kichadema" unamaanisha nini????

Je kama kikwete ndio angekuwa amepata kura nyingi JF ungesema zimekaa kiccm...
daily news walikuwa hawataki kumshindanisha kikwete na slaa kwa ajili walikuwa wanajua watu watamvotia nani

hata ukiweka poll kwa michuzi bado slaa atashinda

hali ya upepo imebadilika sana, watu wote maofisini wanamwongelea slaa, na hawa watu ndio watumiaji wakubwa wa internet kwa hiyo wakipiga kura online slaa atashinda tu regardless of the website.....
Je za daily news hazijakaa kichadema, au kwa ajili ni website ya gazeti la serikali
 
This is not a scientific poll therefore I wouldn't put much stock in it...

Heck, I don't even trust so called scientific polls anyway....

.
Yeah, maybe it is not scientific but rather systematic.
 
pls God we need any other president but not the current one! he did nothing so far to his country
 
Jamani kura 115 kati ya wapiga kura 10 million na zaidi (haya ni makadirio yangu) zinatutoa macho!!! Nadhani bado-ni mapema mno kusema chochote! Juzi nilizungumza naa mgombea mmoja wa ubunge wa nyanda juu kusini toka Chama Tawala. Yeye anasema amepita kila kijiji cha jimbo hilo na hakuona hata dalili ya kuwa kuna kitu kinachoitwa Upinzani !! Kama upinzani haujatengeneza mfumo unaofika mpaka vijijini tangu 1992, je wataweza sasa mpaka OCT 30? Kukosa mfumo unaofika huko ni kosa na halitoi matumaini ya kuleta siasa za ushindani. Cha kufanya sasa labda wapinzani wafanye tathmini ya wapi wanaona wana nguvu na wawekeze juhudi zao kwenye maeneo hayo, bila shaka kwa mkakati kama huu au ya namna hiyo (selective) ndio angalau kutakuwa na matokeo ya kuridhisha !
 
Wewe unajua tofauti ya polls na elections
 
Lakini pia tusisahau kuwa hii inaweza kuwa mbinu ya Serikali ya kuwavimbisha kichwa CHADEMA na kujisahau wakihisi kuwa wao ndo wanapendwa zaidi jambo ambalo litawasaidia watawala kuendelea kushikilia madaraka. CHADEMA isibweteke na matokeo haya.
 
Christopher Mtikila – Democratic Party (DP) 1 votes. (0.87 %)

Dr Wilbroad Slaa – CHADEMA 77 votes. (66.96 %)

Hashim Rungwe - NCCR-Mageuzi 0 votes. (0.00 %)

Ibrahim Lipumba - CUF 2 votes. (1.74 %)

Jakaya Kikwete - CCM 29 votes. (25.22 %)

Jimmy Mshana - Chama cha Demokrasia MAKINI 0 votes. (0.00 %)

Mutamwega Mugahywa – TLP 0 votes. (0.00 %)

Paul Kyara - SAU 1 votes. (0.87 %)

Peter Mziray - APPT-Maendeleo 0 votes. (0.00 %)

Richard Kiyabo - National Reconstruction Alliance 5 votes. (4.35 %)

Total votes: 115

DailyNews Election Portal | Its all about election

Wazee hii hali mnaionaje si kwamba nyota njema huonekana asubuhi.

Ya kwenye magazeti ni sawa, ila ya ukweli ni tarehe 31 October, 2010!!! Je umeshahamasisha wapiga kura wangapi? Kazi ipo!!

naomba ufafanue hii sentensi "za JF zimekaa kichadema" unamaanisha nini????

Je kama kikwete ndio angekuwa amepata kura nyingi JF ungesema zimekaa kiccm...
daily news walikuwa hawataki kumshindanisha kikwete na slaa kwa ajili walikuwa wanajua watu watamvotia nani

hata ukiweka poll kwa michuzi bado slaa atashinda

hali ya upepo imebadilika sana, watu wote maofisini wanamwongelea slaa, na hawa watu ndio watumiaji wakubwa wa internet kwa hiyo wakipiga kura online slaa atashinda tu regardless of the website.....
Je za daily news hazijakaa kichadema, au kwa ajili ni website ya gazeti la serikali

Sawa, nitafafanua na kusasambua kama ifuatavyo:

Za JF zilikuwa zimekaa kichadema mno !!! lol

Seriously, naona Daily News wamebadilisha poll yao baada ya ile thread ya Mag3. Maana mara ya kwanza walifanya kugeza JF tu in favor ya one and only one, Mh. Kikwete.
Bila shaka niliweka 'lol' baada ya sentensi yangu. Kisha nikabadili gia nakusema, yafatayo ni serious. Meaning yaliyopita katika post hiyo sikuwa serious nayo.

Rules of engagement katika jokes ni self-inflicting sarcasm, and has to be harsh!!! You get me?!
Vipi Putin hujapata mkate nini leo, naona ngano imekuwa adimu makwenu... bana eee, mjifunze kula vyakula vya nafaka za mahindi pia!!! lol
 
hiyo ni habari njema km rais wetu mtarajiwa ameanza kuonesha matumaini mapema kabisa.......tupo pamoja nawe.
 
Uhalifu, uwizi na ukandamizaji una mwisho wake, nafurahi kuwa watu wanajua CCM ni wezi wa uhakika.

Kwanini hatuwashughulikii wezi tunaowajua? Ningefikiri badala ya kuwadiskareji CHADEMA ni vema tuwatie moyo, kusugest njia ya ushindi;
 
Hadi tunakwenda mitamboni

Dr Wilbroad Slaa – CHADEMA 141 votes. (77.05 %)
Ibrahim Lipumba - CUF 3 votes. (1.64 %)
Jakaya Kikwete - CCM 32 votes. (17.49 %)
Richard Kiyabo - National Reconstruction Alliance 5 votes. (2.73 %)

Total votes: 183
 
Jamani kura 115 kati ya wapiga kura 10 million na zaidi (haya ni makadirio yangu) zinatutoa macho!!! Nadhani bado-ni mapema mno kusema chochote! Juzi nilizungumza naa mgombea mmoja wa ubunge wa nyanda juu kusini toka Chama Tawala. Yeye anasema amepita kila kijiji cha jimbo hilo na hakuona hata dalili ya kuwa kuna kitu kinachoitwa Upinzani !! Kama upinzani haujatengeneza mfumo unaofika mpaka vijijini tangu 1992, je wataweza sasa mpaka OCT 30? Kukosa mfumo unaofika huko ni kosa na halitoi matumaini ya kuleta siasa za ushindani. Cha kufanya sasa labda wapinzani wafanye tathmini ya wapi wanaona wana nguvu na wawekeze juhudi zao kwenye maeneo hayo, bila shaka kwa mkakati kama huu au ya namna hiyo (selective) ndio angalau kutakuwa na matokeo ya kuridhisha !

Hiyo post yako ina mushkeli. Una maana wapinzani hawakusimamisha mtu nafasi ya ubunge wala udiwani jimbo zima? Mhhh! Tutajie hilo jimbo tukushike ugoni.
 
Lakini pia tusisahau kuwa hii inaweza kuwa mbinu ya Serikali ya kuwavimbisha kichwa CHADEMA na kujisahau wakihisi kuwa wao ndo wanapendwa zaidi jambo ambalo litawasaidia watawala kuendelea kushikilia madaraka. CHADEMA isibweteke na matokeo haya.

Correct observation, and may I add, it seems to me Slaa is more acceptable to the educated who are not as many, these are the ones with access to papers and therefore the more polls in his favour The rural man is yet to be informed of who this Slaa is and what is at stock. Chadema has an uphill task to change the mindset of our rural companions, it is not going to be easy.

If what we are reading in the papers about dirty tricks that ended up with un-opposed CCM contestants is true, then we have a lot more to worry about! In the end PEOPLE WILL SPEAK, IF GUIDED IN THE RIGHT DIRECTION
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom