Elections 2010 Hadi picha zinachakachuliwa .cheki hii hapa

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
72778_1702946333946_1246608441_31847197_6615490_n.jpg
kama kuna mtu anaweza kuikuza ndio itaonekana vizuri ...angalia vizuri watu waliozungushiwa duara wanajirudia
 
Hili ni kweli Mkuu, tumeliona kwenye gazeti la jana la Nipashe, kwa walionunua gazeti la nipashe jana kuna poster iliwekwa katikati ya gazeti, ndo ilikua na hiyo picha iliyochakachuliwa.

Picha hiyo pia wanaitoa kwenye matangazo yao na vipindi maalumu vya Mkwere...


CCM uongo umezidi, wanatufanya wajinga sana..
 
Tume imetumwa kuleta shida kwa watanzania. Tutapita salama.mungu yupo.
 
du e bwana kweli ..... hivi watu wengine walikosewa kuumbwa ni akili gni hizi ,HAKI HUINUA TAIFA
 
Kweli CCM kwa kuchakachua ni kiboko. Hii duplication ni kumdanganya nani!!! Mungu awalipe kwa kiwango hichohcho wanachotufanyia Watanzania.
Tanzania bila CCm na Kikwete inawezekana na inakuja haraka sana.

attachment.php


Mkuu iliisha kuwepo hii hapa JF
 
attachment.php


Mkuu iliisha kuwepo hii hapa JF



Hiyo ndo kazi ya Issa Michuzi ambaye yuko na cruew yake ya wapiga picha kwenye kampeni za JK. Utaishiwa zaidi nguvu ukikutana naye kwenye hizo kampeni, huzunguka na picha kuwaonyesha waandishi huku akijisifu alivyo mahiri katika upigaji kura na uchakachuaji wa hizo picha, ni mithili ya kijana mwandishi wa habari anayeanza kazi na ambaye picha yake imetoka gazetini kwa mara ya kwanza, hutaka kila mtu aione!!!!
 
Nilikuwa naongea na mjumbe wa shina wa ccm hapa mtaani ananiambia kwamba hata yeye kura yake inampa utata sana kuipa ccm.
Naamini maneno ya baba wa taifa yanatimia kuwa upinzani utatoka ndani ya ccm
 
President Kikwete is tipped to win another term in office in these elections, but with a smaller margin than the 80% he scored last time round
 
Back
Top Bottom