Hadi msiba uishe tutaona mengi..tupia maneno kwenye hizi picha

Kuna mvaa hijab yeyote uliewahi kumpenda? labda mama Theresa.
Ndiyo, wengi tu nawapenda kama ni waadilifu, Hawa Ghasia mbona anavaa hijab sijasema namchukia? hapa point siyo Hijab bali taasisi yao ya WAMA ambayo wanapewa mapesa mabilioni kwa kutumia jina la wanawake wa Tanzania kumbe ukiangalia tu wale board Members wa WAMA ni lazima za Mbayuwayu utachanganya na zako.
Pili huyu Mama ni Mwalimu lakini hana uwezo wa kutoa speech akaeleweka, akiongea utadhani anasoma kutoka kwenye karatasi.
Anafeet kwa mume wake na siyo kwa Watanzania wote. Period
 
Hebu angalia na hii hapa sijui anafanya nini huyu!!!!!!!
Angalia.jpg
 
wa kwanza kujifungua akiwa Ikulu, naona sura inaonesha kulaza kalenda


Si bora huyu kwa sura kuliko Mama Mkapa. Yaani yule Mama akicheka asicheke lazima utamkimbia tu ukimuona live jinsi alivyo. Kweli mapenzi kizungumkuti. Mama Kikwete yuko juu.
 
Back
Top Bottom