Hadi msiba uishe tutaona mengi..tupia maneno kwenye hizi picha

n hu IMG_8388.JPG nahuyu naye vipi msibani anachekacheka????
 
Yule pale ndiye anaujauzito wa marehemu??? Usimwonyeshe mtu ingawa hili jamaa hapa pembeni linapenda udaku!!!!
 
I like politicians...they are very clever to grab the moment of the day and take control of everybody.
 
Anasikiliza apate udaku kidogo ili na yeye akitoka apate cha kusema km wanavyo zusha watu utasema kanumba aliwaambia au walikuwa pale tukio lilipo tokea ati
mwache ajipatie. Habari
 
wa kwanza kujifungua akiwa Ikulu, naona sura inaonesha kulaza kalenda
Poor comment, unataka kutuambia kuwa yeye sio mke wa mtu mpaka unaona yeye kujifungua akiwa Ikulu ni kosa, acha hizo ndugu. Mbona Nyerere naye alikuwa na mke na kupata watoto akiwa Ikulu. Sijapenda hiyo post bana in maudhi kwa wanawake bana aaaaaaaaaaaaaaaah!
 
Back
Top Bottom