Hadhi ya nchi imeshuka!??

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
Naomba mnisaidie wadau,nimeambiwa kuwa huenda hadhi ya nchi yetu imeshuka kwa kiwango kikubwa kutokana na kuendelea kutumia Noti ambazo bado zina majina na saini za akina Basil Mramba na Daudi Balali ambao hamna shaka ni Mafisadi waliokubuhu...Kwa uipande mwingine na,namaanisha kuwa,je kuna haja ya kuwaondoa watu hawa wasiendelee kuappear kwenye note zetu??
Naamini nimesomeka.......
 
..inabidi uangalie gharama za zoezi la kuchapisha noti mpya.

..pia cha msingi ni thamani ya fedha, na siyo sahihi iliyoko ktk fedha hizo.
 
Back
Top Bottom