Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 6,915
- 13,458
Hizo zoooote mbwembwe. Elimu kichwani.
Kuna possibilities nyingi mtu Mwenye degreee anafanana na form six
Kuna possibilities nyingi mtu Mwenye degreee anafanana na form six
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa mada hutoelewa milele.Hizo zoooote mbwembwe. Elimu kichwani.
Kuna possibilities nyingi mtu Mwenye degreee anafanana na form six
We ndo hujaelewa nilichochangia.Hujaelewa mada hutoelewa milele.
Mkuu umeelewa nilicho kiandika lakini?Hizo zoooote mbwembwe. Elimu kichwani.
Kuna possibilities nyingi mtu Mwenye degreee anafanana na form six
Je wewe? Umeeelewa nilichomaanisha lakini?Mkuu umeelewa nilicho kiandika lakini?
Je wewe? Umeeelewa nilichomaanisha lakini?
Ni Kweli Kabisa Mkuu Joho lishakosa Heshima.
Haya niliyasema in another wayNashangazwa na watu wanaotaka NGUO (kwa maana ya piece of cloth) iwape heshima.
Comrades, degree za majoho ambazo ni zao la madesa sio tija kwa Tanzania ya kesho. Ni dalili ya udhaifu kuabudu nguo au kipande cha karatasi chenye maandishi ilhali degree yenyewe sio productive.
Wangapi wamegraduate na mijoho mizito mizito lkn impact ya elimu waliyopata haina manufaa kwao binafsi na taifa pia?
Degree inaishi kichwani, sio kwenye joho.
Asante kwa msaaada mkuuWakuu naona mnabishana kama kila mmoja kamwelewa mwenzake.
Kimsingi mleta mada Student Teacher umeongea jambo zuri na umeeleweka. Na pia mchangiaji Robot la Matope ulichoongea umeeleweka.
Nilivyomwelewa mchangiaji Robot anamaanisha hizi academic costumes si hoja hata zikivaliwa na wahitimu wa level yoyote kuanzia kindergarten, primary au wanaohitimu bachelor, masters au doctoral degrees. Kwamba tunachotakiwa kuangalia kwa hao wahitimu si hayo majoho wanayovaa bali ni uwezo wao katika kupambana na changamoto za maisha zinazowakabili wao na jamii iliyopo na kuzitafutia ufumbuzi wake. Pengine anakuja na hoja hii kutokana na hali halisi tunayoshuhudia kwa wahitimu wetu wengi ambao tunawatetea kwamba ndiyo wanastahili kuvaa hizo academic gowns na pia mortar boards lakini wengi wao baada ya kuhitimu wanashindwa kupambana na changamoto zinazoikabili jamii huku tukiwaita wasomi wakati kimsingi hawana tofauti na walioishia form six.
Binafsi sioni tatizo kwa wahitimu katika ngazi yoyote kuvaa hizo academic gowns lakini ambacho kingeweza kufanyika na kusimamiwa na serikali kupitia wizara yake ya elimu ni kuzitofautisha na hivyo kuwa na academic costume code zilizo tofauti kutegemea na level ya elimu kwa wahitimu. Mavazi hayo yanaweza yakatofautishwa kwa kutumia rangi na/au aina ya ushonaji wake ili kama ni suala la heshima kwa wahitimu wa ngazi mbali mbali iendelee kuwepo kwa kuangalia hiyo tofauti katika hayo mambo mawili niliyoyataja kwenye mavazi yao siku ya kuhitimu.
Pamoja mkuu.Asante kwa msaaada mkuu
Sijakuelewa nadhani Umekosea mada maana mada hii haingolei Mambo ya Atm, machinga, sharobaro wala Nn zako hzo Mada husika Ni Heshima ya Joho Kushuka hujui kinachoongelewa pita pembeni.Ukimchukua mtu ambaye hajui kusoma, ukamvisha joho lako uliloliandaa kwa ajili ya mhitimu wa chuo kikuu, mtu huyo ataanza kusoma sababu ya kuvaa joho?
Mimi nathamini elfu thelasini iliyoko mfukoni kwa mmachinga kuliko kadi ya ATM ya sharobaro ilhali akaunti yake ina salio elfu 8 ambayo akiitoa akaunti inafungwa
Wee umesoma Elimu gani mpaka kuwazidi professors ambao Hilo joho na kusoma kwao mpaka kuwa maprofesa hawajapinga majoho yasivaliwe na wahitimu afu acha dharau mi sijasoma kwa kukariri Kwan ulifundisha wewe acha kuwa majigambo ya kabila lakoHuwezi kunielewa kwa kuna hujapata madesa. Umefundishwa na nani kuelewa? Wewe una elimu ya kukariri na ndio maana umeweza kukariri ATM, sharobaro na machinga lkn usielewe nimezungumza nini.
Nasema hivi: JOHO NI KIPANDE CHA NGUO AMBACHO HAKIKUPI HESHIMA WALA CHENYEWE HAKINA SABABU YA KUHESHIMIWA ZAIDI YA KUVALIWA AU KUTUMIKA KUDEKI CHOO.
Kinachopaswa kumtambulisha mhitimu ni maisha yake baada ya kuhitimu sio kanzu.
Wee umesoma Elimu gani mpaka kuwazidi professors ambao Hilo joho na kusoma kwao mpaka kuwa maprofesa hawajapinga majoho yasivaliwe na wahitimu afu acha dharau mi sijasoma kwa kukariri Kwan ulifundisha wewe acha kuwa majigambo ya kabila lako
Kama huwezi kuandika kitu cha maana hapa pita kimya kimya au soma Tu Comments za Wanaume wenzio.