Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,837
- 93,612
Aangalie asije akakatwa mkia na yeye.
Unataka wajifunze nini kwa Mchange mbona hata yeye mdomo ulikuwa unatapika uchafu kama shimo la choo.kuna watu wanatakiwa wajifunze kwa Ndg Mchange na watu hawa ni Hawa wafuatao.
1 LIZABON
2 WAKUDADAVUWA
3 TATA MADIBA
4 BARBOSA
Hawa vijana hawajui ni nini Maana ya siasa.
Hivyo kutokujua kwao upelekea Kutukana watu, majungu, fitina, umbea umbea, na uzabi zabina.
Jirekebisheni wandugu siasa ni utamaduni wa kupelekea Maendeleo kwenye Taifa.
Siasa siyo kama mnavyofikiri kama kutukana watu.
Sisi tuliokulia Azimio la Arusha Tulifunzwa vizuri sana tukiwa Mashuleni ndiyo maana kulikuwa na somo la siasa Mashuleni ili kutupa mwanga wa siasa ni nini.
Tofauti na sasa watu wanadhani siasa ni Majungu, umbea, chuki na Uzabi zabina.
Na hii ndiyo imepelekea taifa kutokupiga Maendeleo kutokana na Siasa Chafu za kuchafuana gilba na kukomoana.
Hapa niseme wazi kabisa chama cha mapinduzi mtubu dhambi hii.
Mmepoteza viongozi wengi wazuri Ambao wamekosa nafasi za uongozi kutokana na Fitina, umbea, majungu yaliyopo ndani ya chama.
Mimi na Amini kabisa ndani ya TANU na ASP kama kungekuwa na Watu wenye Gilba Uzandiki na umbea.
Basi Mwalimu JK Nyerere na Ndg Karume wasingekuwa Viongozi na kutukomboa kutoka kwenye mikono ya wakoloni.
Hapa niseme wazi kabisa hata Ndugu Rais Mh Magufuli.
Angejitambulisha mapema kwamba anajipanga kugombea nafasi hiyo leo Hasingekuwa Rais wa nchi hii.
Angetengenezewa Figisu Figisu na kufurushiwa kwa matuhuma lukuki ya Umbea na Uzandiki na Ange usikia Urais kwenye Bomba.
Nayasema haya kutokana kwamba nilikuwa ndani ya chama hiki najua michezo yote ya wanachama maslai wanavyokiangamiza chama hiki kwa kuangamiza wenzao kisiasa.
Kama siasa ingekuwa safi mimi nakiri kabisa nchi hii ingekuwa inapaa kimaendeleo na sio kutembea mwendo wa kinyonga.
Habibu buana....nilikutabilia haya mambo tangu dalili za kufeli kwako elimu ya chuo na ku-disco zilipoanza. Najua tutakutana nitakukumbusha kauli yangu hii. Pole sana rafiki yangu. Nimeumia kuona umeambulia machozi yasiyo ya lazima cha ajabu ndo kwanza unataka uanze maisha....shule yenyewe ndo hiyo uliifanyia utakavyo ikakutenda.........kitumie vema hicho cheti chako cha fomu sita labda kitakusaidia.
2020 wengi hawataonga ubunge ka mwaka Jana hadi kupugana marungu maana ulikuwa ukiingia ubunge kuna full marupurupu sana. Sasa watabaki wazalendo wa kweli.Nimeupenda utawala wa Magufuli maana umeweza kufanya tuwajue wanasiasa wa Upinzani wanaojifanya wapinzani kumbe wanasaka Ugali wasaka tonge.Wanasiasa wanaobaki kwenye gemu sasa hivi ndo wapinzani halisi.Kaza kaza baba tuone magugu yanavojitenga tubakiwe na ngano tu
Huyo Zito I do believe alikuwa anatumiwa na wasingemshtukia Leo tungesema mengine, upinzani nchi hii ni msalaba mzito hasa shuruba za kutoka chama dola walahMchange laana ya kuuza ubunge kibaha inakutesa..pole sana kijana..hukumjua Zito, muulize kitila mkumbo.! Zito ndo ajue uongozi ni kazi sana. Chama kidogo kimemshinda je angekuwa mwenyekiti chadema angeweza..pole zito, poleni sana chama mufulisi
mkuu kama ungeushirikisha Ubongo vizuri ungetambua kwamba nimelenga kote kote Mkuu.Unataka wajifunze nini kwa Mchange mbona hata yeye mdomo ulikuwa unatapika uchafu kama shimo la choo.
Mbowe utamdanganya kwa lipi labda akununue weweAwamu hii
Bado Mbowe kutangaza kuacha siasa
Mkuu huo ndo ukweli siasa haimlipi tena! na bora kashtuka mapema!Matarajio hayakutimia, hali ngumu kiuchumi, kutojua undani wa siasa nk yamemstafisha Kijana mtukutu huyu. Bado yule Dada...
Wapiga dili na waganga njaa wanasepa mmoja mmoja2020 wengi hawataonga ubunge ka mwaka Jana hadi kupugana marungu maana ulikuwa ukiingia ubunge kuna full marupurupu sana. Sasa watabaki wazalendo wa kweli.
sie wabongo tunaongoza kwa unafiki duniani hivyo usishangae baada ya siku kadhaa akarudi kule kwenye kijani"Mswahili" haaminiki
Aisee inatia huruma sana, kuna day nilipishana nae Mchange maeneo ya lumumba karbu na ofisi za ccm, kwa jins nilivyo muona ziwez shangaa haya maamuz yakeMjumbe WA mkutano Mkuu sina hata Gari? Hata ningekuwa mm ningeacha siasa
Unataka ujumbe ukupatie gari?Mjumbe WA mkutano Mkuu sina hata Gari? Hata ningekuwa mm ningeacha siasa
TAtizo unalijuaaa??