MH!!!! Naam inasikitisha kuona na kusikia habari kama hizo.Si walikuwa wamepanga kumfanyia MZEE WA NCHI?? Itakuweje?? Wata ahirisha au watafanya kimya kimya?
MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU HABIBA
AMEN
Eeeh!Yamekuwa hayo?Poleni sana wafiwa,my qst is wat about mtoto?alikuwa na tatizo gani?huyu ni baadhi tu ya wanawake wachache ambao at least anauwezo wa kufika hsp na kulipia gharama,je wanawake wangapi hawana uwezo hata wa kuchangia gharama za uzazi na kufa kila cku?eeeeeh mwenyezi mungu tusaidie maana tunateseka na relationship,mestruation period,mimba,uzazi,ulezi,unyanyasaji etc.God y me?God will ask who else?
Habiba ni Lawyer by profession, mara ya mwisho nilimfahamu akiwa ni mwanasheria wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Ameolewa na kijana wa familia ya Mzee Humprey Maleko(RIP) aitwae Johson.
RIP Habiba, poleni sana familia za Kawawa na Maleko.