HabariLeo (www.habarile.co.tz) website has a virus?

fogo

New Member
Apr 12, 2010
1
0
Kuna mwanaforum yoyote ambaye ametembelea webisite ya HabariLeo (www.habarileo.co.tz) hivi karibuni? Inaonyesha imevamiwa.

habarileo.png

http://www.bongoline.com/forums/Sci...wwwhabarileocotz)-website-has-a-virus.html#32
 
Yaani huko si kwa kwenda. Kuna likirusi balaa! Tena mzeeTrojan na sumu zake. Msiende huko mkitaka usalama wa tarakilishi zenu.
 
hizo Website za kibongo mbona hivyo kila siku zinavamiwa na Malware?wakati kuna Software za bure za kulinda na Malware ,Virus,Worm ,Spayware? mbona wazito hao Wamiliki wa hizo webSite? kuna nini huko www.majira.co.tz kulikoni?
 
nimeitembelea computer yangu ikazimika!

Ukikuwa unajaribu kuthibitisha?? yale unayoshauriwa na wataalamu hukuyaamini??

Ingekuwa ni vita ya kibiashara tungesema, kama tovuti ya Majira ilivamiwa na Virusi toka kwa Habari Leo, ni dhahiri kuwa Majira nao wamejibu Mashambulizi!!!.aaaaah!
 
Back
Top Bottom