Habari,

Mvina

JF-Expert Member
Aug 2, 2009
998
34
Wakubwa mi nimwanachama mpya hapa kwa kuchangia ila nilikuwa nikisoma sana mawazo na ya watu hapa nikavutiwa sana kujiunga kama hivi naombeni ushikiano na mwakani ninaoa vp mtanichangia?
 
Karibu sana Mkuu, nategemea utajifunza mengi kwa wenye hekma hapa JF

Once again Karibu
 
Wakubwa mi nimwanachama mpya hapa kwa kuchangia ila nilikuwa nikisoma sana mawazo na ya watu hapa nikavutiwa sana kujiunga kama hivi naombeni ushikiano na mwakani ninaoa vp mtanichangia?
Karibu, jisikie huru.

Kadi za kuomba mchango unazigawa kama njugu? :)
Kwa mantiki hiyo, hii itakuwa ni zaidi ya DESI - mtu anapanda mbegu bila kuvuna.
 
Wakubwa mi nimwanachama mpya hapa kwa kuchangia ila nilikuwa nikisoma sana mawazo na ya watu hapa nikavutiwa sana kujiunga kama hivi naombeni ushikiano na mwakani ninaoa vp mtanichangia?

Du hii kali!
Au ulijiunga kwa sababu maalum nini?
 
Wakubwa mi nimwanachama mpya hapa kwa kuchangia ila nilikuwa nikisoma sana mawazo na ya watu hapa nikavutiwa sana kujiunga kama hivi naombeni ushikiano na mwakani ninaoa vp mtanichangia?

Karibu sana,labda nikuulize ulijiunga JF kwa sababu mwakani unaoa au forum ilikufurahisha jinsi watu wanavyotoa maoni yao? Any way binafsi nitakuchangia hiyo harusi yako ikifika,tuombe tu uzima.
 
Endelea na moyo huo huo wa ukarimu. Usiwasahau wanaohitaji msaada mahospitalini. Ukiweza kuwachangia, hakika Mungu atakuzidishia.
 
Back
Top Bottom