habari?

moretouch

New Member
Apr 23, 2009
1
0
Hamjambo nyote? Nawasalimia kwa moyo mkunjufu na kwa wakati huu nasema kwaheri ya kuonana. Hadi wakati mwingine masalaam.
 
kwa hiyo jukwaa la siasa ndo mahali pa salaam?
haya we nenda mkuu ila next time usisahau kwamba ncha ya mkuki haiinjiki chungu
 
kwa hiyo jukwaa la siasa ndo mahali pa salaam?
haya we nenda mkuu ila next time usisahau kwamba ncha ya mkuki haiinjiki chungu

Msanii, huyo anaonekana ni mgeni jamvini bora ungemwambia amekosea kupost thread kwenye jukwaa sivyo ndivyo!..
 
MoreTouch nadhani umeshapata twisheni (utalipa ada bdae).
karibu jamvini na nakupatia homework ya kupitia kila forum humu nakusoma rules zake ndipo utaweza kuwa mchangiaji mzuri na makini.
kwa mfano ilimchukua WOS mwaka mzima kuielewa JF na sasa ni mchangiaji na mwanazuoni mzuri wa JF
JF idumu
He belinda unafanza nini wikend hii?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom