Habari

how are you !!!

  • 0

    Votes: 1 33.3%
  • 1

    Votes: 1 33.3%
  • 2

    Votes: 0 0.0%
  • 3

    Votes: 1 33.3%

  • Total voters
    3
  • Poll closed .

jpaul

Member
Nov 20, 2011
10
0
hay wana jf wote!!!:nerd::nerd:. mimi ni mgeni na ndo mara yangu ya kwanza lakini sina kamba mguuni
 
naomba maoni yenu!!! kuna kampuni maarufu kwa uzalishaji wa vyandarua mkoni arusha, kampuni hiyo inawalipisha nyumba za kuishi wafanyakazi wake kwa gharama ambayo haifai hata kidogo.gharama ya hizo nyumba ni kama ifuatavyo;double room ni sh laki moja na sabini (170,000/=),single room shilingi 65000/= halafu inawalazimisha kuishi kwa nguvu na kwa kutoa vitisho vikali kuwa usipo ishi na kazi hauma tena. jamani ndugu zangu haki ya mtanzani au maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi ??.nchi ya kwetu halafu tumegeuzwa kuwa watumwa wa hiari kwa hii hali .je nauliza wizara ya nyumba na makazi ina taarifa kuhusu ili swala na kwanini limefungiwa macho!!!! wakati wananchi wanaendelea kuumia.hii ni kwasababu serikali yetu inatoa haadi zisizo timilika(fake promisi).

pia kuna keresha la kusanga mawe ambalo limewekwa karibu na hizo nyumba kwa ufupi limewekwa ndai ya hicho kiwanda ambapo ni hatari kwa maisha ya binadamu,lakini kutokana na mwenye hiyo kampuni kutokua na utu wa binadamu hata kidogo anaona kuwa ni sawa kwa jamii maana kawageuza wafanyakazi wake kuwa wanyama:spy:.je serikali ina taarifa kuwa hii kampuni ina vunja sheria za inchi ?? au inataka wananchi wajichukulie sheria mikononi ndipo ijue kuwa wananchi wamechoka na kunyanyaswa. serikali isipo fatilia hili swala kwa karibu zaidi na kutatua hii kero kwa wananchi wa ARUSHA watajichukulia sheria yao wenyewe kwa hii kampuni maana wananchi wa ARUSHA wamechoka na UNYANYASAJI WA MWENYE HII KAMPUNI !!!!.
 
Back
Top Bottom