Habari zilizo tufikia hivi punde

kisumapai

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
544
219
Habari wakuu

Mbagala Kingugi mwanamke amekutwa amefariki ndani ya nyumba chakavu huku akiwa uchi kama alivyozaliwa , ametobolewa macho ili kupoteza ushaidi
 
Mungu amlaze mama anapostahili
Mungu asaidie kukamatwa kwa watesi wa mama
 
Bora sitta ana unafuu mbn wanawake hatuwaonei uchungu kiasi iki
 
Mbagara kingugi mwanamke amekutwa amefariki ndani ya nyumba chakavu uku akiwa uchi kama alivyozaliwa , ametobolewa macho ili kupoteza ushaidi
So....sad
Ushahidi haupatikani kwa kutumia macho pekee!
 
Back
Top Bottom