Napenda kuchukua fursa hii kuandika kwa mara ya kwanza kuwaomba mnipokee kwenye forum.
Jamani Umpe test??sumu haijaribiwi kwakunywa!!
Wewe kama unamtaka msikilize kwani yakufaa kujua kama yeye anamwelekeo gani kwani hakawii kula tunda akaanza mkabaki kwenye simu!!ila kama unampenda mpeee kibrudisho!!
Angalia usimpe mtihani mgumu ikawa ndo jumla!!nakama iko hivyo kwenye red yanini kupoteza mda wako??:confused2:Nadhani sio busara 'kumburudisha' tu kwa vile najihisi kumpenda. Nitajuaje kama ananipenda?
Wewe umesema una watoto, umeolewa?
Huyo naye ana watoto, ameoa?
If majibu ya juu yote ni YES, you are in trouble my friend,
If majibu ya juu yote ni NO, then you can Go ahead, not only with office love but NDOA,
If one of the answers above is YES, MY DEAR "DO NOT TRY THAT AT HOME"

Si conduct infidelity, kundi lenu lishindwe na lilegee kwa jina la Bwana.