Habari zenu Waungwana

Kardinali

Member
Aug 2, 2010
11
3
Baada ya kuwa mtazamaji kwa kipindi kirefu kidogo, nimeona muda wa kubaki kama mtazamaji umetosha sasa. Nimeamua kujongea jamvini hapa JF ili niweze kushiriki vema mijadala mbalimbali nanyi wenzangu. Natumaini nimekaribishwa tayari jamvini.
 
Karibu..........LAKINI .............. kumbuka ............ USITEGEMEE KILA KITU KITAKUWA NI CHA KIDINI HUMU NDANI.............sori....I min du noti spirichoraizi ichi endi everi thingi you ridi oru hia in dhisi foramu..
 
Back
Top Bottom