MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 590
Ningeliomba samahani kwa kuwa nimejiunga kipindi bila ya kujitambulisha kwa wana JF.
Mimi naitwa Mrfroasty, natokea Zanzibar na nilijunga na JF kama miezi 6 iliyopita na nimekuwa mdau tokea nijiunge.
Napenda kuwashukuru kwa wadau wote walioshiriki kusimamisha JF.
Cheers