Habari zenu wakuu

nkosikazi

JF-Expert Member
Mar 11, 2010
361
336
Nimeamua kujiunga na familia hii ili tuweze kuchangia mawazo katika shughuli hii kubwa ya kuiinua nchi yety na kubadilishana mawazo. Nategemea mtanipokea vizuri
 
tutakupokea vizuri kabisa, karibu sana ujisikie upo nyumbani
 
karibu tumewazoea mnaleta umbea kisha mna sleep forward. acha umbea karibu ila hapa mtu kama Maria Roza ni my.....to be kwahiyo punguza utani nae
 
I am a serious guy and time will tell. Hope you are serious too. Yawezekana Maria kajua hilo
 
Back
Top Bottom