Habari zenu jamani....Haina Majasho!

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Kulala gizani..Haina Majasho
Petrol 2500 ...haina majasho
maPriest kuuza unga...haina majasho
dawa za bil 8 kuoza MSD ..haina majasho
JET ya TPDF kubeba mtuhumiwa asiye na kesi...haina majasho
NHC kuuza nyumba upanga ...haina majasho
viwanja kinyerezi 9,000,000..haina majasho
waziri kukaa hotelini nchini mwake... haina majashoo
wabunge kudai posho 2mbili...haina majasho
katiba ya ujamaa wakati tunaishi kwenye ubepari na multi parties.... Haina majasho
spika bubu na kiziwi...haina majasho
ajali kila siku...haina majasho
kimara mpaka posta masaa 3...haina majasho....................
HABARI ZENU JAMANI!!!
 
kwa mafisadi ndo haina majasho sisi walala hoi ina majasho.jk ndo anayesema eti uchumi wa tanzania hauna majasho!!
Usafiri wa treni dar to kigoma hauna majasho.
HABARI ZENYU BANA...!!??
 
Vyoo viwili kujengwa kwa milioni 70 haina majasho.....

Ni aje jombaa banaa
 
aliye buni nembo ya ATC kuzawadiwa 200ml..haina majasho.
spika wa bunge kufunga barabara inayoelekea kwake.. haina majasho.
semina elekezi kwa mawaziri isiyokua na muhimu wowote..haina majasho.
 
kwa mafisadi ndo haina majasho sisi walala hoi ina majasho.jk ndo anayesema eti uchumi wa tanzania hauna majasho!!
Usafiri wa treni dar to kigoma hauna majasho.
HABARI ZENYU BANA...!!??
.....mia!!
 
ikulu kuwa renovated kila mwaka kwa gharama za almost bilioni 18 (2010-2012) haina majashooooo aka majotrooo
 
Asante, wale wenye vipaji kama vyako vya kushusha mistari wataongeza, ......................... haina majasho.
 
kamanda nzowa kututajia jina FEKI la mchungaji anayejihusisha na dawa za kulevya.....haina majasho...
 
Back
Top Bottom