Habari za same

mbatia mnzava

Member
Jul 1, 2011
27
3
Jana jioni kulitokea ajali ya gari wilayani same kata ya vudee.Watu kadhaa wamefariki.Na baadhi walijeruhiwa na kuwaisha hospitali ya wilaya ya same.
 
Nimesikia hizo taarifa. Imesikitisha sana, watu zaidi ya saba kufariki kwa kijiji kimoja kwa kweli ni majonzi makubwa. Wengi siwajui ila kuna binamu yangu nasikia amefariki. RIP binamu, MRINDOKO. Kweli kifo hakina huruma.
 
hebu tuwekee picha mkuu
Ukisikia nchi ambayo wananchi wake wameingiwa na ushetani ni Tanzania. Unadai kuona picha ya maiti/majeruhi? Akili zako ziko wapi? Ukishaiona utafaidi nini? Wewe unawanga usiku? F@%¤
 
Walio fariki ni wanafunnzi wa wili,Mwali mmoja mstaafu jina kakore na mfanyabiashara aitwaye mrindoko.Jumla wako 7 waliofariki na ni wa kijiji kimoja kinachoitwa ndolwa.Chanzo cha ajali ni mwendo kasi.
 
Pole sana wafiwa. Pia tukumbuke kukemea huyu shetani anaekula roho za watu manake tumezoea kila ajali inayotokea tunasema ni mipango ya Mungu wakati c kweli. MUNGU hawezi kutoa roho za watu wake kila cku.
 
Walio fariki ni wanafunnzi wa wili,Mwali mmoja mstaafu jina kakore na mfanyabiashara aitwaye mrindoko.Jumla wako 7 waliofariki na ni wa kijiji kimoja kinachoitwa ndolwa.Chanzo cha ajali ni mwendo kasi.
Mungu aziweke mahali pema roho za marehemu. Wafiwa poileni sana
 
Back
Top Bottom