Habari za punde.wanafunzi 6 waliohitimu leo Mzumbe wahofiwa kufariki kwa ajali

jamani hizo bado ni tetesi tu na wala hazijathibitishwa bado! waleta hbr fanyeni hima kutafuta ukweli ili watu tusibaki njia panda mwisho tutakuwa tunawachulia wapate matatizo wakati hayo matatizo hayapo!
 
Back
Top Bottom