Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari za punde.wanafunzi 6 waliohitimu leo Mzumbe wahofiwa kufariki kwa ajali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lokissa, Dec 7, 2012.

 1. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6,944
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  Imetokea kati ya Mzumbe na Morogoro.majina na habari kamili zitawajia punde
  yasemekana wote ni wa kike...

  More update.
  kwa mujibu wa mwanaJF

  Ni kweli jana kulikuwa na mahafali Mzumbe University yaliyofanyika Mzumbe Main Campus ila taarifa kwamba kuna ajali imetokea zilianza kusikika mida ya saa tatu usiku kwamba kuna ajali maeneo ya Mindu(eneo hili lipo barabara kama unaelekea Iringa),

  2. Kituo cha polisi wanasema habari si za kweli.

  4. MODS naomba hii topic ifutwe na ile ingine inayofanana na hii.
  habari hizi bado kuthibitishwa.samahani kwa waliokwazika
  namshukuru Mungu kuwa shetani hajafanikiwa kazi yake​
   
 2. d

  dilemma Senior Member

  #2
  Dec 7, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu aepushie mbali.Poleni wote.
   
 3. Online User

  Online User JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 2,733
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 63
  Duh! So sad.... Hebu lete habari kamili!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 27,397
  Likes Received: 1,202
  Trophy Points: 113
  Omg!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ee Mungu tunusuru!
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6,944
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  ni hatari maisha ya mwanadamu ni kama mauwa. nakusanya taarifa zaidi.
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,076
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 38
  Tukusanyie mkuu,mdogo wangu nnae fatana nae ame graduate leo hapo ngoja niendelee kumtafuta.
   
 8. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu mbona unatupa taarifa nusu nusu!
  walikuwa kwenye daladala au usafir binafsi?

  ajali imetokea maeneo gani?
   
 9. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6,944
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  ni usafiri binafsi mkuu
  habari kamili zitapatikana ngoja tupate details zaidi
  mimi siko Morogoro kwa sasa
   
 10. N

  Natalia JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,466
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Jesus !!!
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,776
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 63
  Hivi kumbe mzumbe university haipo morogoro kumbe? Poleni wafiwa...
   
 12. M

  Makomangilo Member

  #12
  Dec 8, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SIKUELEWI; Neno leo ndio nini? Tutajie Tarehe na Saa. Fafanua vizuri eneo la ajari; ni Mzumbe na Morogoro Mjini au ni Mzummbe na Mkoa wa Morogoro? Tueleze ilikuwaje?
   
 13. mcfupa

  mcfupa Member

  #13
  Dec 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 1
  mzumbe is 25 km away from town
   
 14. Damson88

  Damson88 JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nami nimetoka huko kwenye mahafali..nasaka taarifa kwa undani zaidi ila nimeambiwa ajari imetokea eneo la Mindu lililopo Iringa road. Kwa taarifa zozote ntawajuza
   
 15. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Poleni wote waliokumbwa na msiba! NO ONE CAN PREVENT DEATH TO OCCUR BUT WE CAN AVOID DEATH ISITOKEE!
   
 16. M

  Makomangilo Member

  #16
  Dec 8, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha uongo. Toa habari ukiwa na uhakika nayo.
   
 17. L

  Leornado JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naomba hii habari isiwe na ukweli wowote maana kupoteza wasomi inauma saana.
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,738
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mzumbe university ipo km 25 kutoka mkoa wa morogoro,na officially ipo WILAYA YA MVOMERO
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,738
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  inauma kweli mdau ila wasomi wenyewe hawajijali ukimwi nao unawaandama,kujiuza wao,,,,basi hakuna tofaut yao na wasokua wao
   
 20. shuve

  shuve JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 18
  Mi sielewi kitu maana sijaona habari kamili hapa ni tetesi tupeni habari iliyo kamili!:confused::confused::confused:
   
Loading...
Similar Threads - Habari punde wanafunzi Forum Date
Habari zilizotujia kutoka magazetini hivi punde Habari na Hoja mchanganyiko Jan 28, 2016
Habari zilizo tufikia hivi punde Habari na Hoja mchanganyiko Oct 2, 2014
habari za hivi punde: ajali mbaya imetokea,mwenye macho aone na asome Habari na Hoja mchanganyiko Nov 8, 2012

Share This Page