Habari za kusikitisha mzumbe university

Oya Vipi wewe? unaenda kusoma au unaenda kulala?? eleza issue ya madarasa na si kulala!
kwani lazima uchangie,wewe vipi??????????acha shobo wewe.Shauri yako dawa ya shobo robo,sasa hiyo robo igeuze.
 
. . . Mr Mzumbe??! Umepataje hilo jina kama ndo kwanza umejoin juzi juzi??! Well, incase ulizoea (huko ulikotoka) kulala peke yako, habri ndo hiyo dogo, kulala 'mtungo' 1st year kawaida sana,...hiyo issue haijaanza mwaka huu since years ago, miaka 4 sasa. . . .just share na wenzako,au kama mzazi ako yuko na pesa ndefu akupangishe Lumumba, utalala pekeyako.
ndugu lumumba hapafai kabisa kitu cha 30000 per day!!!!!!!!!!
 
We dogo ka vp hamia udom,kule hamna shida ya accomodation kabisa.
 
kweli ww mwaka wa kwanza. afu hukuwahi tembelea campus yoyote? afu ww utakuwa ccm eeeh?
 
Hapa ulizidisha dozi. Dr alisema misokoto mingapi ka siku?
weeeeeeeee afyaaaa gani unaongeleaaaaaaa tumelala udsm 99 mpaka 2002 kitanda watu wawili na wakati mwingine wanalazwa chini afya gan unaiongelea ...ungetaka chako pekeyako ungeenda kulala vya 5000 mpwa akugusi mtu
hapo nahisi utaathirika na deo maana kila ukitaka kuleta mlupo unahisi ndani kuna mtu na nje 5000 si mchezo mpwa
nafikiri hii itasaidia kuondoa ngono zembe zilizokuwa zinaongrzeka vyumbani bila akili!! Ama mkubaliane kupiga mizigo kwa pamoja nikupe njia ila usiniweke kwenye weak leak weka pazia katikati mnakula mzigo kam kawa tatizo mmoja akizidiwa unajua kuna mademu ukiwachapa vizuri wanapepo la kukimbia ovyo hapo ndipo shuguli akimfwata mwenzio na wewe chukua wake
 
Usitake starehe dogo bado mapema, ukitaka kulala vizuri unaenda nyumbani. Hilo ni jambo la kawaida sana kwenye vyuo vyetu. Unapewa ubavu wa kulala na unaulipia.
 
Sasa naanza kuamini bongo chuo ni UDOM tu, vingine ni sehema ya kupatia hadhi na cheti!!Eti wale ambao siku zote wanasifia UD leo nao wanakubali kwamba wanalala watu wa 3 kitanda ki1 tena kwa kujisifu na kujiamini kabisa.
Hii ndio Tanzania,ni bora OPEN university ziongezwe kuliko haya ma-convectional learning ambyo tunayalazimisha.
 
dogo acha dharau kwani room kitu gani? Cha msingi lectures ziende hayo mengne mbwembwe tu.
 
Hapa ulizidisha dozi. Dr alisema misokoto mingapi ka siku?
halafu wewe unavyowajua wanachama wako............. siku hizi hatuiti misokoto aisee

unamuuliza tu straight, mkuu umenyonga ngapi leo?? au stick ngapi tunapata??

nina cha malawi hapa, hahisi kama wameweka ina "ile kitu kavu" maana kila mtu namwona mkubwaaaa kama nyumba
 
Shauri lako,mwenzio nimeacha kabisa naungojea mwisho wa dunia kwanza.sivuti hadi january. Sasa kama unaona kila mtu mkubwa kama nyumba piga msokoto mwingine utapata ile batani ya ku-zoom kwenye jicho,lol
halafu wewe unavyowajua wanachama wako............. siku hizi hatuiti misokoto aisee

unamuuliza tu straight, mkuu umenyonga ngapi leo?? au stick ngapi tunapata??

nina cha malawi hapa, hahisi kama wameweka ina "ile kitu kavu" maana kila mtu namwona mkubwaaaa kama nyumba
 
watoto wa wakulima wakipata boom tu nyodo nyiiingi hadi karaha! Lione kwanza! We uliwadanganya kwenu unaishi peke yako ili mdogo wako aje kuangusha room,sasa umekoma! Ndo maana ukwenda UDSM watu kama nyie mnadisco..
 
kwa taharifa yko hyo UD yako sikuchagua kbs,kozi ninayotaka hpo haipo BIBI heee.
Sio mshamba/mjinga unayepelekeshwa kwa jina la chuo na maneno ya kuambiwa....!!KILAZA MKUBWA WEWE
 
Pambana ndugu ndyo hali halisi hiyo. na ndyo safi ili wasomi mjifunze na mmbadilike na kuchagua chama kitakacho jali maslahi ya wananchi wao na siyo matumbo yao. CCM wametutoa mbali ila viongozi wa sasa ndyo wanaharibu chama. kama kijana utakuwa ushajua what to do kwa matunda ya baadea watakae kuja.siyo lazima tufanye kitu kitusaidia sisi kwani mpaka leo mababu zetu wapo? na wamefanya mambo mangapi mazuri on behalf of us
 
Kama ulisoma day school au private hii itakupa shida,
mimi nimesoma boarding school O level na A advance mwendo ni kulala wawili,
na hapa nipo mzumbe mwaka wa kwanza na hih kitu hainisumbui brain yangu kabisa
piga msuli acha kufikiria bed utakonda kwa mawazo
 
huyo dogo alizoea kulalia 6 kwa 6 mwenyewe ndo mana anashangaa,wenzio tangu form 1-chuo na tunaona maisha mzuka 2.
 
we utakuwa umesoma academia tu,kwani hata sekondari haukuwahi kukutana na hayo??uliza walosoma PUGU,ndo tatizo la kusoma english medium,international skul,academy halafu chuo mnataka msome sawa na walotoka chipolopolo,cha msingi hama tu chuo nenda kasome na chuo cha hadhi yako ndugu hapo utateswa mpaka utakoma na hiyo bado trela picha linakuja
 
Back
Top Bottom