Habari za kusikitisha mzumbe university

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,014
957
Habairi zenu ndugu wapendwa wa jf,
Nipo mzumbe university mwaka wa kwanza,chuo tumefungua rasmi tarehe 17th oct,na wanafunzi wengi wamefika tarehe hyo na kuanza mara moja kusajiliwa lakini cha wasiwasi zaidi ni kwamba tcu wameleta wanafunzi wengi sana ambao hawapo proportion na accomodation za chuo.Mpaka sasa wanafunzi zaidi ya mia 4 hawana makazi na kupelekea viongozi wa MUSO na kKupelekea viongozi kupita room mpaka room kuomba tubebane ili angalau tuweze kukizi maitaji.
Kwa mazingira ya MU mtu wa kawaida huwezi kupanga nje ya chuo kwasababu gharama ni kubwa sana<wanachaji elfu tano kwa siku>.HALI ni tete sana kwani chumba kimoja kina vitanda vi 3 ambavyo ni doubledeck kwa sasa tunalala kitanda ki1 watu wa 2 thus ni hatari sana kwa afya yetu.
Sababu wanazozitoa chuo ni za msingi sana kwani wanaeleza kama vigezo vingezingatiwa watu mbalimbali wasingekuwepo.
 
mbona kubebana ni jambo la kawaida tu....uliza udsm, huko hakuna haja ya viongozi kuomba mbebane...ni suala ambalo ni automatic, ukipata rum, asiye na rum anakutafuta unampa nusu bed...life goes on!!!!!
kama ni issue ya magonjwa, kwani kwenu hamjawahikulala zaidi ya mmoja kwenye bed moja? mliambukizana magonjwa?
 
Habairi zenu ndugu wapendwa wa jf,
Nipo mzumbe university mwaka wa kwanza,chuo tumefungua rasmi tarehe 17th oct,na wanafunzi wengi wamefika tarehe hyo na kuanza mara moja kusajiliwa lakini cha wasiwasi zaidi ni kwamba tcu wameleta wanafunzi wengi sana ambao hawapo proportion na accomodation za chuo.Mpaka sasa wanafunzi zaidi ya mia 4 hawana makazi na kupelekea viongozi wa MUSO na kKupelekea viongozi kupita room mpaka room kuomba tubebane ili angalau tuweze kukizi maitaji.
Kwa mazingira ya MU mtu wa kawaida huwezi kupanga nje ya chuo kwasababu gharama ni kubwa sana<wanachaji elfu tano kwa siku>.HALI ni tete sana kwani chumba kimoja kina vitanda vi 3 ambavyo ni doubledeck kwa sasa tunalala kitanda ki1 watu wa 2 thus ni hatari sana kwa afya yetu.
Sababu wanazozitoa chuo ni za msingi sana kwani wanaeleza kama vigezo vingezingatiwa watu mbalimbali wasingekuwepo.

Acha ulegelege wewe. Wenzenu udsm wanabebana miaka na miaka. Sasa ulitaka hao wengine wasipate admission ili msome wachache tu kwa kujinafasi? Ilalamikie serikali kwa kushindwa kuboresha miundo mbinu kwa kuzingatia projections za udahili wa wanafunzi kadiri miaka inavyokwenda. Na si kuilalamikia TCU hapa, vinginevyo utaonekana ni mchoyo wa elimu.
 
labda wanapromoti mapenzi ya jinsia moja! imagine midume mizima inabebana...halafu kwenye vitanda vidogo vile..what do u expect?
 
Karibu elimu ya juu. Yaonekana hujui makandokando ya elimu ya juu nchini. Kwa taarifa yako hiyo ndiyo hali halisi katika vyuo vyote vikuu nchini. Accommodation ni kwa wenye disabilities na wanaotoka mbali wakiwemo foreigners. Wengine wakipata accommodation ni privilege siyo right. Soma vizuri joining instruction yako.
 
hacha u-braza men dogo, kama unata starehe kasomee kwenu! mbona jambo la kawaida kubebana? may b wewe utakuwa na magonjwa au roho mbaya au utakuwa haujatailiwa una soksi hivyo unaona haibu. usituletee malalamiko ya kipuuzi, usingechaguliwa ungelalamika eti wanapendelea, umepata bado unalalamika! tena inawezekana umetokea familia masikini unafika chuo unaanza majivuno! wacha ubwege wewe umeenda kusoma na si kulala!
 
labda wanapromoti mapenzi ya jinsia moja! imagine midume mizima inabebana...halafu kwenye vitanda vidogo vile..what do u expect?

wanajamvi huyu jama Rejao shoga nini? Mbona watu tumekua na hayo mazingira kitambo sana sana,vyuo kama udsm,ardhi,mu,muhas na sua hilo swala limezoeleka.Kingine mbona advance gvt school za bweni karibu zote huo ndio utaratibu wetu kubebana.Wewe kama unaelement za kike kuwa muwazi tukusaidie kuna majembe kibao tu humu.
 
Kumbe inaruhusiwa kumtukana member mwenzako hapa JF?
naombeni utaratibu kabla sijairipoti hii post!
 
Kwa waliosoma SUA kampasi ya Mazimbu hayo mambo yamezoeleka.

Hiyo ndio Tanzania.
 
Tafadhali hamy d tumia lugha ya kistaarabu,kua muelewa mana we ni mtanania uwe na ethics
 
Dogo acha usharobaro,huku udsm mbona nimekosa hata wa kunibeba nimechukua godoro dogo naangusha kwenye meza ya kusomea na life freeeeeeesh!
 
Back
Top Bottom