Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,460
- 4,359
Mkuu Englisher heshma kwako.Fundi mchindo waberoya kaandika nini tena kwenye PM kakutukana? unaweza kumwaga au kukopi alichaondika huko?? kwani ulishindwa kumueleza asikuandikie tena mpaka kumweleza MODS? vipi tena maji ya shingo? yaani kakitu kadogo kaka haka mzee unashatki ili uonewe huruma, hujatukanwa hapa umeelezwa ukweli na , mimi sikujui lakini sijawahi kukutana ana kwa ana na mtu anayetetea ushoga, sijui unaonekanaje!!!
Ninakubaliana na maneno yako kwa asilimia kubwa, ninachotaka kusema hapa ni kwamba nina uhakika kuwa Waberoya hawezi kutukana kabisa, i trust the man, ni muungwana sana. Ninachokiona hapa ni hamu ya Waberoya kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa FM. Hakujua kuwa ujumbe huo utaleta mtafaruku.
Mkuu FM mimi ni mmoja wa watu wanaokuamini sana na kuthamini michango yako, nakuomba u-cool down tuendelee kukata libeneke jamvini.
Matukio ya hivi karibuni (mtoto kubakwa kwenye daladala na mwandishi wa habari na ile ya jamaa kumwaga mbegu na kumchafua mdada kwenye daladala. Yanaashiria upotevu mkubwa wa maadili, so Serikali na jamii kwa ujumla tunakazi ya kukemea ili tuendelee kuenzi utamaduni wetu mzuri wa kuheshimiana na kulindana.
Kwasisi Wakristo, Biblia inasema ndoa na iheshimiwe na kila mtu. Pamoja na maana pana ya neno hili pia linamaanisha kuwa tendo la ndoa lifanywe kwa mujibu wa taratibu zinazokubalika kimaadili.