Habari za Kusagana, Ngono, na Serikali ya CCM!

Habari za Kusagana, Ngono, na Serikali ya CCM!

Jamani sitaki enda nje ya topic ila kiongozi wa serikali na CCM ni dini gani vile? Wakati wa Julius na Ben hali haikuwa hivi.......sishangai mwenzenu najua tatizo lilipo!
watakao fikiri mimi ni mlevi shauri yao ila habari ndo hiyo!
 
Wewe ni genius lazima umeowa kaka! wont mind having a kid na wewe....LoL
 
MKJJ umenikumbusha,

katika harakati zangu za mambo ya kiroho, kijana niliyekuwa namshauri,nikamuuliza kitu gani kilimfanya 'aanguke' kwa huzuni akasema aliposikia kijana mwenzake amezini, ndipo mawazo ya yeye kufanya ngono yalipoingia kwake naye akafanya. You know man kind as always been looking to expriment some issues even if are immoral. From that day , nikashauri wachungaji wawe waangalifu watu fulani kusema mambo machafu wakidhani ni ni njia ya wao kuprove walivyokuwa kabla ya kumpokea Yesu.

Your comment applies everywhere !

Thanks fella
 
Huyu Shigongo na Magazeti yake watu wamepiga sana kelele, lakini siku hadi siku ndio anaongeza Magazeti na kuandika masuala yanayoua utamaduni wetu. Na kwakuwa ni Mwanachama wa CCM na hujitokeza kuchangia mambo ya CCM wanamwachia. Lakini ukiharibu jamii, jua unajiharibu, siku atakapomkuta mwanae ndio anaendekeza hayo jasho litamtoka.
 
Habari za Kusagana, Ngono, na Serikali ya CCM!

Jamani sitaki enda nje ya topic ila kiongozi wa serikali na CCM ni dini gani vile? Wakati wa Julius na Ben hali haikuwa hivi.......sishangai mwenzenu najua tatizo lilipo!
watakao fikiri mimi ni mlevi shauri yao ila habari ndo hiyo!

Eti nini??.....unasema mkulu wetu ni mzee ruksa junior!...au?
 
Serikali kama imeshindwa kudhibiti kuenea huku kwa mambo haya basi itunge sheria ya kuregulate sex industry in the country and pornographic material badala ya kuzipiga marufuku tu.
Nakubalana na Mwanakijiji ya kua ni vema kukawa na sela kuhusu magazete hayo Wapi ya uzwe , kuanzia umrigani mtu anaruhusiwa kununu n.k.Cha kusikitisha serikali yetu au viongozi wetu wapo sio kulinda masilahi ya jamii bali masilahi yao binafsi.Watakuja juu na kuyakemea na kuyandama magazeti yale yatayofichua ufisadi na uozo wao.Magazeti yatakayo yagusa majina yao,watoto zao jamaa zao n.k.Kwa upande mwingine serikali yetu inafurahia magazeti haya ya udaku (Yasiyo wagusa wao na familia zao)Kwa sababu yanawasaidi katika kuamisha mawazo ya jamii kutoka katika kufuatilia maswala muhimu{ufisadi,rushwa na uozo mwingine katika serikali na viongozi wetu ambapogharama yake anailipia mlala hoi} Nafikiri hii ndiyo sababu kuu ya serikali kutoliona -kwa makusudi - tatizo hili na madhara yake katika jamii.Mungu ibariki tanzania
 
Je jamii ina haki ya kuwalinda watoto? au kwa vile mambo yanayozungumzwa ni starehe ya watu wazima basi jamii isijiwekee mipaka ya kulinda watoto wake? That is the bottom line. Mimi sizungumzii reaction ya watu wazima na madevu yao, kwa wale wanaojua I am also a good writer of erotic stories, so I know what I'm talking about..

Kwa vile ni mambo ambayo yapo, yameendelea kuwapo na si mageni ina maana watoto wadogo waachiliwe tu; inawezekana hapa ndio wapo wazazi ambao wanaangalia porno na watoto wao kwa kisingizio cha "siyo mambo mageni!"
 
habari kama hizi zinaweza kuchochea tabia mbaya kama usagaji...kwanza mtoto atataka kujuwa ni nini..akishajuwa anajaribu!!

ndio baadhi ya watanzania wenzetu ambao nao wanajiita wajasiriamali wameamuwa kupata pesa kwa njia hizi!!!..magazeti ya udaku,mAtusi na udhalilishaji...
 
Serikali kama imeshindwa kudhibiti kuenea huku kwa mambo haya basi itunge sheria ya kuregulate sex industry in the country and pornographic material badala ya kuzipiga marufuku tu.

Mkuu kuna swala hata za hizi TV kuna vipindi hivi vya tamthilia za kigeni zinarushwa sana na station kibao na watoto wana angalia nyingi ni za kimapenzi utakuta baba na mama wameketi jioni wanaangalia pamoja na watoto wao kuna maswala ya kushikana shikana wao wanasema malavi davi kunyonyana mzee kakaa na familia yake ana angalia sijui wale watoto wanapata picha gani au fundisho gani pale duh.
 
Hii ni serikali ya zimamoto. Hakuna mtu anayejua kesho utakuwaje, i feels sorry for myself maana i can not plan for the next 5 years. Sembuse ufikirie watoto wa leo!

Kila mtu na lwake ole wako ukimtibulia ndo mnaanza kushikana
 
maureen.jpg

Imetoka kwenye Gazeti la Ijumaa April 17-23, 2009.

Je, kuna vitu ambavyo magazeti hayawezi kuviandika bila kuwa graphic kama ilivyo kwenye makala hii?

Je, Serikali inatambua madhara ya habari kama hii kusomwa na mtoto mdogo wa shule ambaye anaweza kulipata gazeti hili mitaani?

Je, Wizara ya Habari na Utamaduni chini ya mtani wangu Mkuchika wanafanya nini kuzuia kile ambacho wagiriki wa kale walikiita corrupting the morals of the minors? na ambacho hata sisi tunacho kwenye sheria zetu?

Ni mpaka Waziri gani aandikwe kuwa anasagana ndipo watajua habari kama hizo ni detrimental to the welfare of our youth?

Kuna mtu anayejali? Wachungaji na Mashehe wako wapi kupinga uchafu huu au ndio wanasubiri hadi mwanasiasa awaalike?

Taasisi za haki za watoto ziko wapi au hadi waahidiwe fedha?

Mwanakijiji!
Mkulu MMK
Nobody cares, its only you.

What a shame....!!!!!??????

Kama wewe ni Muuzaji wa magazeti na vijalida mbalimbali,uza kijarida cha cheche hapo pamoja na gazeti la Uwazi, uonebaada ya masaa mawili, lipi kopi zake zitakuwa za kwanza kuisha?

Ni jukumu letu sote kusema NO,kwa huu "UFISADI WA MAADILI YA WATOTO" wetu ambao kila siku ,sisi kama wazazi tunajitahidi kujenga maadili hayo ambayo NDIYO KITU CHA MWISHO tulichobakia nacho kama Taifa.

Haya yanayotokea ya kuachia mambo namna hii, Mkulu hayatokei kwa bahati mbaya au watu wamezembea,HAPANA.

Haya yanatokea kwa MAKUSUDI,WAHUSIKA WANAJUA NINI WANACHOFANYA.

TUTAKUWA NA WATOTO WENYE TABIA ZA HOVYO.WASIOPENDA SHULE,KUFANYA SHUGHULI ZA MAENDELEO,TUTAKUWA NA TAIFA LA WATU WANAOFIKIRIA..NGONO.... NGONO.... NGONO tu.

Asubuhi mawazo ni ngono,Mchana Ngono, Jioni Ngono.

Na mkakati huo believe me, umeanza kufanya kazi........TUNAONA MATOKEA YAKE.

TUNAJUA WAO WANANGUVU ......TUNAOMBA WACHUKUE KILA KITU....FEDHA,MADINI,WANYAMA, LAKINI MAADILI KWA WATOTO WETU WATUACHIE.

NO MAADILI , NO TAIFA.
 
Tatizo ni kwamba kumejaa waandishi wa habari feki pamoja na wahariri ndio sababu hawachuji habari. na wamiliki wengi wa vyombo vya habari hawataki kuajiri waandishi waliosoma kwa kukwepa kuwalipa mishahara kulingana na CV zao ndio maana kuna TV moja kongwe ambayo siku hizi kuna mwandishi wake anaripoti kutoka Kasulu, Karagwe namfahamu kabisa alikuwa mpiga picha wa mtaani tu pale Mwanza lakini eti na yeye ni sijui mtangazaji au mwandishi wa habari anajua mwajiri wake.

Sasa kwa mfano huo unafikiri mtu kama huyo atashindwa kuandika uozo kama huu. Jamani fani hii imeingiliwa
 
Mkulu MMK
Nobody cares, its only you.

What a shame....!!!!!??????

Kama wewe ni Muuzaji wa magazeti na vijalida mbalimbali,uza kijarida cha cheche hapo pamoja na gazeti la Uwazi, uonebaada ya masaa mawili, lipi kopi zake zitakuwa za kwanza kuisha?

Ni jukumu letu sote kusema NO,kwa huu "UFISADI WA MAADILI YA WATOTO" wetu ambao kila siku ,sisi kama wazazi tunajitahidi kujenga maadili hayo ambayo NDIYO KITU CHA MWISHO tulichobakia nacho kama Taifa.

Haya yanayotokea ya kuachia mambo namna hii, Mkulu hayatokei kwa bahati mbaya au watu wamezembea,HAPANA.

Haya yanatokea kwa MAKUSUDI,WAHUSIKA WANAJUA NINI WANACHOFANYA.

TUTAKUWA NA WATOTO WENYE TABIA ZA HOVYO.WASIOPENDA SHULE,KUFANYA SHUGHULI ZA MAENDELEO,TUTAKUWA NA TAIFA LA WATU WANAOFIKIRIA..NGONO.... NGONO.... NGONO tu.

Asubuhi mawazo ni ngono,Mchana Ngono, Jioni Ngono.

Na mkakati huo believe me, umeanza kufanya kazi........TUNAONA MATOKEA YAKE.

TUNAJUA WAO WANANGUVU ......TUNAOMBA WACHUKUE KILA KITU....FEDHA,MADINI,WANYAMA, LAKINI MAADILI KWA WATOTO WETU WATUACHIE.

NO MAADILI , NO TAIFA.

Mwisho wa siku wanakimbilia DECI kutafuta utajiri!! Brain imelala fofo!
 
Mwankijiji amekuwa ni miongoni wanaopigania mazuri kwa taifa hili, na wengi wetu tunamshukuru kwa kazi yake hiyo na kumsifu .pia tujikumbushe kunamsemo unaosema Mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji.leo mwanakijiji aliona hili la wandishi kuandika mambo ya usagaji ni Baya zidi ya watoto wadogo ,lakini amesahau kuyaeleza yale ambayo ni mashafu na maovu zaidi katika jamii. Ambayo yamegeuzwa kuwa ndio sehemu ya maisha yetu , huhitaji hata kuyasoma ili kuyaona,kwa mfano leo hii tuangalie karibu wasichana wetu wote hapa Bongo wanatembe nusu uchi sasa mtoto mdogo wa shule anapoona hali ile inatosha kwake kuamini ni sehemu ya tamaduni yake na hasa ukia,leo inakuwaje msichana mbele ya mzazi na jamii anaonesha maumbile yako ya siri kwa makusudi na hakuna anaelikataza hilo, serekali na wakuu wake wanalifurahia ,ukija kwa viongozi wa Dini wamegawika sehemu mbili kuna wale wenye uwezo wa kulipigia kelele na serekali ikawa ipo tayari kulitupia macho,na sehemu ya pili ni wale ambao wakilipigia kelele wataambiwa wanaleta udini au hata kutishiwa mahakamni na vifugo
 
Mimi bado naamini kuwa hii ni non-issue. Hakuna kitu erotic katika habari nzima. Mwandishi amezungumzia binti ambae aidha ni lesbian ( msagaji ) au bi-sexual. Sasa mnataka kusema kuwa neno "lesbian" limekuwa tusi? Kama vile wakati wetu tulivyodhani kuwa neno "bepari" ni tusi! Ni mawazo yetu haya ambayo ni antiquated ambayo yanatufanya tupandishe mori ati kwa sababu mtu kamzungumzia lesbian. Kesho mtadai tusiseme mtu amebakwa kwa sababu watoto wetu watataka kujua nini maana ya kubakwa!

Tumefika mahali tunadai kuwa vijana wanafikiria ngono ati kwa sababu vijarida vinaandika kuhusu masuala hayo. Trust me, hata kabla ya hivyo vijarida vijana walikuwa wakifikiria ngono, ngono, ngono tu. Kuna kitu kinaitwa hormones. Ni ubinadamu.

Amandla...........
 
...kitu ambacho kinasikitisha ni jinsi vile huyo mwandishi wa habari na mhariri wanavyosifiana namna walivyofanikiwa kuipata hiyo habari.

...mwandishi aliamua kuingia ndani ya nyumba bila hodi bila kukaribishwa, angepigwa nondo ya kichwa na kuzirai wahariri wake bado wangeendelea kumfatilia huyo Maureen?

...yaani hayo maguvu yanayotumika kupata stori kama hizi yangelielekezwa kwenye ufisadi wa mali za wananchi, mbona tungelikuwa tumepiga vihatua viwili mbele..

...kwa sababu wengi wetu tunaweza kuwa makanjanja wa kinamna fulani, mimi ningelikuwa Maureen ninge tumia some resources for a parallel revenge, kuanzia huyo mwandishi hadi kwa huyo mhariri. A few pictures on the web za maisha yao ya ndani would put a big smile on their shameless faces!

Wazee na mvi zao wanatamani watoto wadogo kama vile wamepuliziwa Limbwata lililochanganganywa na maynyoya kutoka sehemu za siri za mbwa.

Mimama nayo inatamani vivulana kama kutamani chipsi kuku, pilipili mbuzi kibao na soda baridi ya Pepsi usawa wa saa 7 mchana pale DTown mitaa ya Samora, ili wapoze Uhanga wao tangu usichana.
Madela, wewe mwanasiasa wa mwituni, Nakuweka kwenye list ya watu ambao M.Mungu akinijalia, ni lazima nionane nao, una mifano ya ajabu sana! :)
 
umepatia! chagua mji! Tanga? nchi , Iran?

Wacha mi niende Iran nikajifunze Sharia. Nikirudi naenda gombea ubunge kwetu. Wakinipa ubunge mie tayari waziri wa habari au wa Sheria. Dawa ya waandishi wanaoharibu jamii kwa kutumia mikono yao ni kukamata mkono wake anaoandikia na kuweka chini ya katapila usagwe na tairi
 
Back
Top Bottom