Habari za Kitaifa toka ITV 09-02-2011 - VIDEO

Thanx alot...........Can u do this Daily???????? Na za Star TV........Thanx alot...it has been a long tym dude....
 
Mkuu asante sana unatusaidia mno wewe hujui tu! Lakini kwanini TV na radio zetu hazipatikani online? Mbona wenzetu Kenya karibu radio zao zote na TV zao zinapatikana online, sisi wabongo kwanini tupo nyuma kila siku?

Mkuu usichoke endelea kutuwekea mambo kila siku
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom