habari yenu wana jamvi!!!!!!!!!!

bariadi2015

Member
Sep 26, 2012
22
6
wanajamvi habari za mihangaiko ya maisha!tumshukuru mungu kwani tumejaliwa pumzi.
mie ni mgeni hapa jamvini,naomba mnipe ushirikiano wenu.
 
Karibu sana,naona id yako inaonesha una mpango na Bariadi mwaka 2015?
 
Karibu saaaaaaaaaaaana mgeni. usijali utakuwa mwenyeji punde tu, usisahau kusoma kanuni za hapa jamvini mkuu. Karibu tuendelee na kujadili mambo yanayohusu mustakabali wa nchi yetu hii ambayo mafisadi wameigeuza shamba la bibi kana kwamba haina mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom