Nimefarijika kusikia vijana wanahisa wa nicol wamepanga kuwaondoa viongozi wa kampuni hii na kushika hatamu ya uongozi na kunusuru mitaji ya watanzania waliowekeza katika kampuni hii, hayo yametokana na kusuasua kwa uongozi dhabiti unaopelekea kuzama kwa mitaji ya wananchi wengi wa kipato cha chini
vijana hao niliowasiliana nao wameniakikishia kuwa kikao kitachofanyika mwezi ujao ndio utakuwa mustakabali wa muhimu wa kampuni hii, na wao wamechoka kuendeshwa kibabe
wito wangu ni kuwa kama kuna wanachama wengine wajaribu kuungana na hili kikao hicho kiwe ukombozi kwa hisa zao